Special thread: Kuna maisha Baada ya uchaguzi. Je wewe unaishi au unasurvive?

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,944
18,653
Nakumbuka 2015 kipindi cha uchaguzi kulikuwa na haka ka msemo " Kuna Maisha baada ya Uchaguzi". Sasa tunaenda kumaliza miaka miwili baada ya uchaguzi. Tunaelekea kwenye " Maisha kabla ya uchaguzi" 2020.

Hebu tuelezane hapa. Maisha yako vipi baada ya uchaguzi. Unaishi au unasurvive?
 
Back
Top Bottom