King Kisali
JF-Expert Member
- Nov 20, 2019
- 1,042
- 1,349
Kweli kabisaaa Kama alivyoweza kumshawishi huyu kondoo akapiga finishing .Mnamcheka Gwajima kwa kipande hicho cha video ambacho hakionyeshi mwisho waliishia vipi katika maongezi yao, yawezekana aliweza kumshawishi mzee na kukubaliana naye.
Hiki kipande mmenyofoa hakitoi picha halisi nini kiliendelea baina ya watu hawa wawili.