Uchaguzi 2020 Special Thread: Harakati za kampeni za mgombea Ubunge Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,880
Haya naona Gwajima kaingia rasmi "kitaa"

Kwenye siasa kila sanaa itafanywa haijalishi aliyeifanya ni nani!


 
Huyo Gwajima leo nimeona mahali anahamishia kanisa lake Tegeta, nikasema huyu kweli hakutegemea kupitishwa, siku akiukosa huo ubunge sijui atalirudisha hilo kanisa ubungo lilipokuwa? jamaa msanii sana.
 
Hii habari ni uongo,hili jamaa linapost propaganda za uongo. Leo limedanganya umma kuhusu Nhif wameondoa huduma za dawa.
Soma hiyo
IMG_20200904_203511.jpeg
 
Wewe ni member wa NHIF?
Je sio kweli kwamba kuna baadhi ya magonjwa hayaytibiwa kwa bima? Unajidai unajuaa? Kumbe zuzu flan hivi
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom