Uchaguzi 2020 Special Thread: Harakati za kampeni za mgombea Ubunge Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima

King Kisali

JF-Expert Member
Nov 20, 2019
1,004
2,000
Mnamcheka Gwajima kwa kipande hicho cha video ambacho hakionyeshi mwisho waliishia vipi katika maongezi yao, yawezekana aliweza kumshawishi mzee na kukubaliana naye.

Hiki kipande mmenyofoa hakitoi picha halisi nini kiliendelea baina ya watu hawa wawili.
Kweli kabisaaa Kama alivyoweza kumshawishi huyu kondoo akapiga finishing .
IMG_20200920_151708.jpg
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,997
2,000
Kama kimenyofolewa tuwekee kipande kilichonyofolewa.

Mnamcheka Gwajima kwa kipande hicho cha video ambacho hakionyeshi mwisho waliishia vipi katika maongezi yao, yawezekana aliweza kumshawishi mzee na kukubaliana naye.

Hiki kipande mmenyofoa hakitoi picha halisi nini kiliendelea baina ya watu hawa wawili.
 
Manjagata

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
8,445

Dada Mabel mbona zamani ulikuwaga na akili sana? Yaani unaona mgombea anavyovuja maji kila sehemu yenye tundu wewe unasema mjadala uliisha vizuri huo? Mzee kampiga 3-0
 
Pelekaroho

JF-Expert Member
Sep 15, 2010
1,602
1,500
Mnamcheka Gwajima kwa kipande hicho cha video ambacho hakionyeshi mwisho waliishia vipi katika maongezi yao, yawezekana aliweza kumshawishi mzee na kukubaliana naye.

Hiki kipande mmenyofoa hakitoi picha halisi nini kiliendelea baina ya watu hawa wawili.
Mbona mzee amehitaji majibu mazuri tu, bei ya sukari ni ya nchi nzima mbona upande mmoja wa nchi kuwe na bei nzuri kwa walaji na upande mwingine kuwe na bei nzuri kwa wauzaji? Kama majibu yake anasema ni kwa sababu Kawe wamekosa mwakilishi anayefaa kusemea suala hilo, kwani bei hiyo ipo Kawe peke yake au hata Kigamboni, Kinondoni na Segerea ambako wana wawakilishi kutoka CCM?
 
ksk

JF-Expert Member
Mar 30, 2016
977
1,000
Shirika kubwa kama yaani litoe taarifa yenye spelling mistakes lufufu. Yaani waandike interno badala ya internal. Hiyo memo ni ya kugushi maana hata nembo haina. Yaani tamko muhimu na kubwa kama hilo litolewe kwenye karatasi isiyo na nembo. Kweli UKAWA mmekosa pa kuichafua serkali.
 
Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
10,576
2,000
Woote tumemsikia Mh Rais jinsi alivyokiri kuwa Kawe iko nyuma sana kimaendeleo.

Ameeleza kwa ufasaha vile amnavyo mbunge anayeaga Halima Mdee alivyoshindwa kushirikiana na vyombo mbalimbali ili kuleta maendeleo Kawe.

Mh Magufuli vilevile ametonya juu ya utoro wa vikao vingi vya kibunge vyenye maamuzi ya kuomba maendeleo kisekta.

Huyo ndiye Halima Mdee, bingwa wa utoro kuwawakilisha wana Kawe bungeni.

Wana Kawe tusifanye kosa, chagua Gwajima.

Wengi wa watu wa Kawe wamewekeza kwa kujenga nyumba zao ambazo zinakosa thamani kwa kukosa miundombinu thabiti.

Nimefarijika mh Rais jana kaitaja hata barabara ninayoishi ambayo kwa muda mrefu imekuwa kero.

Wana Kawe chagueni Kawe kwa maendeleo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom