Special thread:DR Mohamed Bilal na uwekaji mawe ya msingi,uzinduzi,utoaji tuzo na etc | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Special thread:DR Mohamed Bilal na uwekaji mawe ya msingi,uzinduzi,utoaji tuzo na etc

Discussion in 'Jamii Photos' started by Yo Yo, Feb 3, 2012.

 1. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Hii ni special thread ya uwekaji mawe ya msingi,uzinduzi,utoaji tuzo na etc anayofanya Makamu wa rais DR Mohamed Bilal. Ifahamike kuwa hizo ndio kazi ambazo muda mwingi Dr Bilal anazifanya [​IMG]
  Makamu wa raisi Dr Bilal akiweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi kijiji cha mkiu-mKuranga
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  ...........................................................
  005.jpg
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
 4. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mbona pich hazionekani?
   
 5. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Amebobea sana katika kazi hii kuliko ya utaalamu wa nyukilia
   
 6. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #6
  Feb 3, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rasmi Daraja la Mingumbi lililopo Wilaya ya Kilwa,

  [​IMG]

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipunga mkono kuwasalimia wananchi baada ya kuweka Jiwe la Msingi katika jengo la Kituo cha Afya cha Kitomanga lililopo Lindi Vijijini
   
 7. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #7
  Feb 3, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Kama kawa anamwakilisha rais kwa kazi ndogo ndogo kama hizi
   
 8. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #8
  Feb 3, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  hey zinaonekana......
   
 9. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #9
  Feb 3, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Yo Yo ipe maneno mwenyewe hii
   
 10. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #10
  Feb 3, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Mkuu nani kakuambia hizo ni kazi ndogo hizi ni kazi kubwa sana kuliko hata kufundisha chuo, na ndoo maana aliiomba!
   
 11. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #11
  Feb 3, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Unajua mkuu jamaa ni mzuri kwa ufunguzi kwa sababu yeye habishi, huwa haangalii quality ya ujenzi anafungua tuu hata kama ni feki!
   
 12. MANI

  MANI Platinum Member

  #12
  Feb 3, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,413
  Likes Received: 1,872
  Trophy Points: 280
  Pamoja mkuu hii imekaa vizuri!
   
 13. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #13
  Feb 3, 2012
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,988
  Likes Received: 20,391
  Trophy Points: 280
  Aisee, hivi kumbe hizi ndo kazi za Makamu wa Rais,!!!!!!!!! nani sasa anaishindwa hii kazi??????????????:yawn:
   
 14. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #14
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  hahhahahahahahh wana JF mmepinda,mtu analipwa mamilioni kuwa na kamkasi ka kukatia tepe na kuvalisha mashada.....na madaktari wanaohatarisha maisha yao kwa kufanya kazi ktk mazingira magumu wanalipwa pesa mbuzi......sijui tukoje?
   
 15. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #15
  Feb 4, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Makamu wa raisi mheshimiwa dr mohamed bilal akikata utepe kufungua tanki la maji lenye ujazo wa lita 50 kijijini sigimbi mkoani Shinyanga...
   
 16. The Mockingjay

  The Mockingjay JF-Expert Member

  #16
  Feb 4, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Afadhali hajaambatana na wote wawili. Naona mke mmoja tu leo.
   
 17. Mchambuzi

  Mchambuzi JF-Expert Member

  #17
  Feb 4, 2012
  Joined: Aug 24, 2007
  Messages: 4,819
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  Hilo ndio tatizo la kuwa na makamo wa rais anayeteuliwa na Rais kuwa mgombea mwenza badala ya makamo wa rais anayetokana na kura za wananchi, mfano miaka ya nyuma wakati ule Waziri Mkuu na Makamo wa Rais ilikuwa ni kofia moja. Chini ya mfumo ule, nafasi ya makamo wa rais ilionekana na maana kwasababu iliunganishwa na majukumu ya waziri mkuu. Vinginevyo hii nafasi inamaliza tu hela za walipa kodi kwani ni ya kisiasa zaidi just to accommodate Zanzibar au Bara, depending Rais anatokea upande gani wa muungano. Ujio wa CUF umeivuruga sana CCM katika suala hili, kwani kwa mfano, CUF wakishinda Zanzibar, na CCM iendelee kuwa na running mates wa nafasi hii ili kutopoteza wapiga kura wake ZnZ, ina maana makamo huyu wa Rais atakuwa juu ya Rais wa CUF Zanzibar kicheo? Au mtindo huu utakufa pale CUF itakaposhinda Urais Znz? Na chini ya serikali tatu, tuseme CUF wanashinda Znz, CCM wanashinda Bara, Makamo wa Rais wa chama kilichoshindwa ZnZ (CCM) atakuwa Mkubwa wa Rais aliyetokana na chama kilichoshinda Znz - CUF? pengine wataalam wa masuala haya ya kikatiba wanaweza kutujuza zaidi, vinginevyo ni suala la kuumiza kichwa tosha.
   
 18. Mwita Matteo

  Mwita Matteo JF-Expert Member

  #18
  Feb 5, 2012
  Joined: May 16, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kwani wewe unafikiri kazi kaze ni zipi hasa???
   
 19. Ghost

  Ghost JF-Expert Member

  #19
  Feb 6, 2012
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 429
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kweli hii ni umiza kichwa.....hapo mwishoni sijaelewa vizuri!!
   
 20. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #20
  Feb 6, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  msela anakula maisha mazuri sana...imagine unafanya hivi fr five years na unalipwa mahela kibao....mambo ya nchi unamuachia vasco dagama
   
Loading...