Special seats legislator Chiku Abwao (Chadema) Premier clarifies why Zanzibar hosts its own flag | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Special seats legislator Chiku Abwao (Chadema) Premier clarifies why Zanzibar hosts its own flag

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GHIBUU, Aug 21, 2011.

 1. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #1
  Aug 21, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,187
  Likes Received: 704
  Trophy Points: 280
  [h=2]Premier clarifies why Zanzibar hosts its own flag[/h]  [​IMG]

  Special seats legislator Chiku Abwao (Chadema)
  A Lawmaker has questioned the rationale for Zanzibar, a party to the union between it and Tanganyika, to be allowed to have its own flag while denying the same right to the other party in the union.


  Special seats legislator Chiku Abwao (Chadema) raised the matter in the National Assembly yesterday during the prime minister’s question time when she sought clarification on why Tanganyika would not be allowed to hoist its own flag like Zanzibar.


  “I would like to know why Zanzibar, a member in the Tanzania state, has got its own flag. Why the same does not apply to its partner in the union?” she said.


  Prime Minister Mizengo Pinda, in response, said that the two parties mutually agreed that Zanzibar could have a flag and not for Tanzania mainland, adding that this was a constitutional requirement which could only be changed with a mutual agreement between the parties to the union.


  “This is the current constitutional set-up. No matter how one may feel about the matter they cannot change the constitutional dispensation,” the PM said.

  SOURCE: THE GUARDIAN
   
 2. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #2
  Aug 21, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Wazanzibari wanajiandaa kujitenga na muungano ama kuwa na serikali tatu ndani ya muungano. Bendera pamoja na vitu vingine kama majeshi(vikosi vya smz) ni ishara kwamba wanajua wanachokifanya ndo maana kwao muungano wanautazama kama kikwazo.
   
 3. M

  Majasho JF-Expert Member

  #3
  Aug 21, 2011
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 341
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Chiku mwehu tu... Viti maalum hamna maana
   
 4. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #4
  Aug 21, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,187
  Likes Received: 704
  Trophy Points: 280
  Written by Ashakh (Kiongozi) // 21/08/2011 // Habari-Picha // 5 Comments

  [​IMG]
  Angalia hiyo picha za bendera tunataka hiyo bendera ya mwanzo isimame ndani ya umoja wa mataifa.


  Bi Chiku naona amefanyiwa kizungu mkuti,jibu alilopewa na waziri mkuu,nafikiri anegeuliza makubaliano yepi hayo ambayo yaliyosema kuwa tanganyika ipoteze bendera yake ? Na kama yapo hayo makubaiano basi wayatoe tuyaone ?

  Jengine aulize kwa nini bendera ya zanzibar baada ya muungano iliondoa pale umoja wa mataifa ? Na alieondoa nini nani na kwa mkataba upi ? Sasa hivi hatutaki kuzungushwa sana,ikiwa wananchi wanataka serikali tatu basi ziletwe,hakuna cha kusubiri,nafikiri hata hiyo serikali tatu imeitwa na wakati tuwe na na shirikisho la muungano. kila tu awe na Republic Government.
   
 5. M

  Mkandara Verified User

  #5
  Aug 21, 2011
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Miafrika jamani kazi kweli kwleli.....
  Nchi ina dhiki kubwa katika kila sekta zake za Uzalishaji mtu unakuja na maswala ya bendera kama vile tuko kwenye Kitchen party na Udaku kuzungumzia mavazi ya watu. Huwezi kuingia ktk Siasa ikiwa hujui asili ya vitu na inaonyesha ujinga zaidi unapouliza swala linalohusu Muungano..Nitasema tena na tena kwamba kama mtu huwezi kuvumilia joto la Muungano wa nchi zetu bora usijiunge na siasa za nchini kwa sababu una question legality ya Uhuru na Muungano wetu ambao UMEAPA KUULINDA..
   
 6. K

  Kishili JF-Expert Member

  #6
  Aug 21, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 293
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Even your name implies that you are mwehu that is why you dont have time logics behind! you are crazy not Chiku
   
 7. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #7
  Aug 21, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0

  Unafaili lake la Mirembe? Mbona mi namuona kifaa ingawa sielewi anakuwaje special seat huyu mmoja wa wapiganaji wa siku nyingi sana.
   
Loading...