special for u out there

shansarie

JF-Expert Member
May 25, 2013
5,690
3,357
[h=5]from my friend's blod
lols i have to share with u mmu fans


%HII KWA VIJANA WOTE WAKIKE
NA WAKIUME%
*Una Miaka 25 badoo upo tuu
home una kaa
kaa tuu kutwa nzima wewe ni ku
chat tuu
Facebook mda wote.
*Kumbuka kua Dunia Ya Leo si ile
Ya ma BABU
zetuu, Mwanamke unakaa tuu
Nyumbani
unasubiria Kuolewa, Ni Mwanaume
Wa Aina gani
huyo kwa karne hiii Ya Leo
atakubali kuoa
Mwanamke Tegemeziiii Tuu???
*Wanaume weng wa sikuhiz
wanapenda
MWanamke anayejishughulisha na
mwenye
Uchungu Wa Maisha.
*Hata Upande wa Wanaume hivyo
hivyo, siyo
upo upo tu home ..Ukitegemea
Mwanamke
mwenye akili zake atakubali
kuolewa Na wewe
etii Kisa ni HB?? Utapotea sana.
Ndo mana Tuna
sema Tafuteni pesa kwanza
Mapenziii
Yataafataa Tuu ...
ukiwa ktk Utafutaji wa Pesa Huyo
Mwanamke
Atakuja Tuu ...Ila siyo kila
ukihulizwa upo
wap??? NIPO HOME NACHEK MOVIE
FULANI...
Eeeh!! Mwanamke lazima ashtukee
na kugundua
Wewe ni Mtoto Wa Mama
tuu ...Anajua hata
Akiolewa Na wewe Watoto
watapata shida Tuu.
*Huo U-HB wakoo uta pendwa na
mwanamke
asiye Na Future ..Na Mara nying
Penz La hivyo
Halifik Kokote coz Mapenziii ya
kweny
Tamthilia ...Beby Beby Nyiiiiiingiii
Hata mda wa
kuongelea Maisha Haupo, Kila mki
chat ni Utoto
Mtuuupuu.
*Na Mwanaume Asiye na Future
Mara nying
umtafuta Mwanamke Mzuuuuriii
lengo ni kuuza
nae sura kwa marafik zake Apewe
sifa ...Na
Kufanya nae Mapenziii Bhasiii..
*Ukitaka kumgundua Mwanaume
Wa
hivyo ..mwambiee Nipelekeee
Kwenu? Mwangalie
atakujibu nn? ..
Ndo Utakuta Munafanya Leo
Mapenziii..wik moja
mbele ..MWANAUME ANAKUTEMA..!
*coz yeye ni Hb ..na ana Wanawake
wengiii
Tuu..Wewe Anakuacha Na Maumivu
Tuu ..huku
ukituandikia Status..
Oooh I hate Love♥ !!
Ooh Siaminii tena Mwanaume♥


[/h]
kama kuna kaukweli vile au mnaonaje
 
Kule kwetu TANGA tunasema, wape wape eeehh vidonge vyao, wakimeza wakitema ni shauri yao!!!!! Kicheba-Muheza-Tanga hioooo
 
Nimeipokea.

Afu hivi ni kwanini siku hizi hunipendi kama zamani.????
Mjukuu ni under 18 huyo,huruhusiwi hata kumkagua!
Nimekungoja Pm mpaka nimechoka uko busy kupokea shikamoo huku!
 
Back
Top Bottom