Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,945
- 22,096
Mh Rais
Ukiacha makelele ya mavuvuzela ambao hawakutakii mema kwenye uongozi wako mfano Shelukindo, Makamba na wengineo, kazi yako ni nzuri sana na mafanikio tumeyaona.
Wako Mpenda Maendeleo.
my dear president
ukiacha matatizo ya umeme /jairo/mafuta na wale wabunge machchari waliotaka kutusumbua kisa kuwapa mhimili mmoja wapo wa nchi
napenda kukuwissh eid mubarak ila ukiona kimya my dear president ujue sina
wako mtesekkaji
pdidy
Mh Rais
Ukiacha makelele ya mavuvuzela ambao hawakutakii mema kwenye uongozi wako mfano Shelukindo, Makamba na wengineo, kazi yako ni nzuri sana na mafanikio tumeyaona.
Wako Mpenda Maendeleo.