Special EID Mubarak for President Jakaya Mrisho Kikwete

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,722
21,775
My Dear President
Ukiacha matatizo ya umeme /jairo/mafuta na wale wabunge machchari waliotaka kutusumbua kisa kuwapa mhimili mmoja wapo wa nchi
Napenda kukuwissh Eid Mubarak ila ukiona kimya my dear President ujue sina
wako Mtesekkaji
Pdidy
 
Attachments

  • kazi ipo.JPG
    kazi ipo.JPG
    153 KB · Views: 62
haya mapozi tuyaiteje kwenye kumalizia mfungo wetu kwamba walikasirika ama wamechoka sana kushika viuno vyao??
 
Mh Rais
Ukiacha makelele ya mavuvuzela ambao hawakutakii mema kwenye uongozi wako mfano Shelukindo, Makamba na wengineo, kazi yako ni nzuri sana na mafanikio tumeyaona.
Wako Mpenda Maendeleo.
 
Mh Rais
Ukiacha makelele ya mavuvuzela ambao hawakutakii mema kwenye uongozi wako mfano Shelukindo, Makamba na wengineo, kazi yako ni nzuri sana na mafanikio tumeyaona.
Wako Mpenda Maendeleo.

Mwenyewe anajua kuwa mpo mavuvuzela mnaomsifia kinafki,alishawah kusema,,,,,,,,ndo alikua anamaanisha ni nyie
 
my dear president
ukiacha matatizo ya umeme /jairo/mafuta na wale wabunge machchari waliotaka kutusumbua kisa kuwapa mhimili mmoja wapo wa nchi
napenda kukuwissh eid mubarak ila ukiona kimya my dear president ujue sina
wako mtesekkaji
pdidy

pdidy nadhani unge pm mkuu ili ile zawadi ya idd na wewe ikufikie!
 
Mh Rais
Ukiacha makelele ya mavuvuzela ambao hawakutakii mema kwenye uongozi wako mfano Shelukindo, Makamba na wengineo, kazi yako ni nzuri sana na mafanikio tumeyaona.
Wako Mpenda Maendeleo.

Duh hii ni kali hongera sana Mwita kwa kuona hilo kuwa na wewe ni aina yao
 
Eid mubarakaaaaaaaaaa,raisi mwenye kipaji cha usikivu na mwenye mbinu mathubuti za kukabiliana na mgawo wa umeme tunashukuru kwa sababu saizi sio mgawo tena bali hauonekani kabisa..............................kula idd baba
 
Back
Top Bottom