special analysis: MANDELA Vs MAN UTD

Jospina

JF-Expert Member
Apr 19, 2013
2,421
1,387
MANDELA vs MAN UNITED
Mandela alikaa jela miaka 26
Man u alikaa miaka 26 bila kombe la ligi

Mwaka 1990 Mandela anakua huru
Mwaka huo huo man akachukua fa cup na hilo lilikua kombe lake la kwanza tangu mwaka 1968

Mwaka 1992 Mandela akawa rais Wa kwanza kuchaguliwa kidemokrasia SA

Man united akachukua kombe la ligi baada ya miaka 26(miaka sawa na ile ya Mandela alokaa jela)

Mwaka 2012/13
Kocha Wa man united sir Alex akastaafu baada ya misimu 26 ya mafanikio (miaka sawa na ile ya Mandela alokaa jela)

Msimu 13/14
Hali ya Mandela ikawa tete hatimaye kufariki

Msimu huohuo hali ya utd ikawa Mbaya na inaelekea kufa

RIP MANDELA
RIP MAN UNITED
 
Mkuu huo ulinganisho wako mbona una kasoro, Mandela alikaa jela miaka 27 na sio 26, kutoka 1963 hadi 1990, na alikuwa rais kuanzia mwaka 1994 na sio 1992.
 
ACHA UWONGO! R.I.P ARSENAL SIO MAN U YETU...! MSIINGILIE NDOA ZA WATU, TUACHIENI CC WENYEWE MAN U!
:shocked::tape::smile-big:
 
kashaga umedanganya umma,unastahili adhabu ya viboko kumi na mbili na kazi ngumu,unasema mandela alikaa jela miaka 26?pitia upya kumbukumbu zako
 
Back
Top Bottom