Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,520
- 2,091
Ukishangaa ya Musa utaona ya Firauni,vipaza sauti (Mic)zinaendelea kugoma,nakumbuka Bunge limekarabatiwa juzi juzi... Kwa kweli inasikitisha sana...
Mi nahisi hizi tusker baridi zimeshakulewesha,kwani unazungumzia mic au speaker?Ukishangaa ya Musa utaona ya Firauni,vipaza sauti (Mic)zinaendelea kugoma,nakumbuka Bunge limekarabatiwa juzi juzi... Kwa kweli inasikitisha sana...