Elections 2010 Speaker Sitta scolds PCCB over wife’s ‘mistreatment’

Addressing reporters in the city, Mr Makamba said all CCM candidates currently under probe by the PCCB will have their dreams shuttered once the allegations of corruption against them are proved.

Once allegations proved!!!!!?? When. Hii inaonyesha CCM inafanya kazi kwa karibu na PCCB. Kesi ngapi za rushwa mpaka leo PCCB wanazifanyia uchunguzi.? Je PCCB watakuwa fast enough kwenye uchunguzi wao kuendana na deadline ya CCM.?

Ngoja tuone kama kwenye masinema mastering wanaweza kufa kabla ya movie kwisha
 
It saves Sitta Right, alipata nafasi ya kulinda heshima yake akakubali kuipoteza kwa tamaa na ubinafsi. Walimchuza Mpendazoe akaachia ngazi na kupoteza mafao yake, wao wakabana. Katumia mamilioni ya fedha za Mengi na TV yake kujijenga, alipochekewa na JK kambwaga kama mzigo nakukumbilia kusema eti alishtushwa na kuiuzulu kwa Lowassa, leo hii Jamani? Kakalia U speaker kwa faida yake binafsi, dictator mkubwa tazama alichokifanya pale ofisi za bunge, Ushenzi mtupu kajaza vijana wake wezi wezi wezi wakubwa, hebu fuatilieni walichofanya wakati wa mkutano wa bunge la jumuia ya madola, wizi mtupu yeye na watu wake na kuharibu kazi leo hii tanzania imeingia doa. Tunamjua tunasubiri muda wake tumkumbushe. Tazama hiyo ofisi ya mbunge wa Uyui ni nin hicho? hela za bunge fuatilieni mamilioni mia mia kila akienda jimboni, katibu wake mwizi kumbukeni habari ya kubadilisha namba za gari la serikali. Serikali ijayo hana chake, hivi nani kamdanganya atapewa uspika? Na huyo mama ni mgongwa gani anayeitiwa saa saba usiku ma gesti house waziri mzima? wemeonja asali wanachonga mzinga.... waende wamekula vya kutosha...
 
Tangu awali siwaungi mkono Sitta na wenzake kwani niliwaona wanafiki. Huwezi kuishi ****** halafu unakataa harufu ya choo.

Kama ni wasafi wajitoe CCM
 
Wadanganyika can't cease to amaze me. Sasa huyu analaumu PCCB kwa vyombo vya habari ili apate huruma ya umma, kwani yeye kama mwanasheria hajui nini cha kufanya pale anapoona haki haitendeki? Anatuma meseji gani kwa akina siye kapuku tusojua sheria kuhusu haki na wajbu wa raia? Nashikwa na wasiwasi kwamba we are a bunch of toothless crocodiles, kila kitu bora liende, no standards no action.
 
kwa wakati huo kaka mie nilikataa kupokea na sikuweza sema maana si unajua kesi zinavyobadilishwa? au weye mgeni Bongo? unacheza na wakubwa sio?
Kwa hiyo hata huu unaweza kuwa mchezo wa wakubwa, unaweza kutuhakikishia kuwa hili la leo si dili la wakubwa.
 
Ewe mdangiyika nani kakudanganya TAKUKURU wanafanya kazi yao? Kama unaamini hii inayoendela sasa ni vita ya rushwa basi wewe una matatizo makubwa. Vita ya rushwa haiendeshwi namna hii mdanganyika mwenzangu!
Umesema kweli kinachofanywa na Takukuru ni mchezo kama michezo mingine. Vita ya rushwa haifanywi hivyo haiwezi kutangazwa wazi kama wanavyofanya leo, hufanywa kwa siri na kwa muda mwafaka. These people are just kidding us, but they cant kid us all the time.

Huwezi kuvizia rushwa kwa rungu kama kummvizia mwizi, ni mchezo ulioratibiwa kati ya CCM na Takukuru kwa sababu zao hatujui, haiwezekani leo nchi nzima watu wanakamatwa kwa rushwa utadhani imeanza leo au Takukuru imeanzishwa jana. Kuna walengwa maalumu wanaowindwa hao wakishapatikana hutasikia vurugu hizi tena na mchezo utakuwa umekwisha.
 
Kama kura za maoni Zanzibar matokeo tayari.......Kama ingekuwa uchaguzi...lazima week 2...Sasa TAKUKURU inaweza kufanya maajabu haya haya kuhakikisha kuwa Kesi zote zinaamriwa kabla ya uchaguzi....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom