Speaker directs probe into UDA ownership controversy

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,005
Speaker directs probe into UDA ownership controversy

By Sylivester Domasa

21st May 2014

makinda-may21-2014.jpg

Speaker Anne Makinda

A few days after the government and Simon Group - each claimed the ownership of Dar es Salaam Transport Company (UDA); the Parliament has now directed Parliamentary Committee on Ethics, Privilege and Powers to conduct a thorough investigation of the matter.

The committee has been directed to probe the acquisition and ownership of the so-called state run UDA.

Speaker Anne Makinda gave the directive when Ubungo MP John Mnyika (CHADEMA) tabled a private motion yesterday.

In his motion Mnyika said section 100 (1) of the constitution states: “There will be freedom of thought, discussion and order in the National Assembly. That freedom shall not be broken down or questioned by any entity in the United Republic of Tanzania, in court or anywhere else outside Parliament.”

He said the freedom is supported by the parliamentary standing orders and the rights and powers of the Parliamentary Act, Section 12.

The legislator noted that last week the government claimed that it owns 51 per cent of UDA shares while the private firm Simon Group owns 49 percent.

However he said there have been reports in the media that some Parliamentarians from Dar es Salaam were paid by a foreigner to challenge the ownership deal in the Parliament.

Mnyika said Simon Group boss, Robert Kisena, was quoted by newspapers (not The Guardian) claiming that the MPs were bribed and in addition were engaging in dirty politics to defend a foreign owner (name not mentioned).

Surprisingly, Mnyika said Simon Group boss openly claimed that he owns the company while the government had already clarified that UDA is a public entity.

Simon Group boss told The Guardian last week that his firm owned 76 per cent of the shares and the government only 24 percent.

“… This confuses the public on the appropriate owner of UDA,” noted Mnyika.
He further noted that information provided in the House either by the government or members of parliament was immune and is not supposed to be questioned outside the debating chambers.

He went on to say that Simon Group boss interfered with the independence of Parliament in which the Government made its statement.
In addition, Mnyika says the group accused MPs who questioned the government in the parliament.

“Honourable Speaker this matter concerns the privileges and immunities of Parliament and the independence of the Parliamentary discussions. I hereby ask for your guidance to allow legislators discuss and recommend actions to be taken against him,” Mnyika asserted.

Mnyika believed that the national assembly’s freedom of thought and discussion was questioned outside the parliament contrary to the immunity, rights and powers of the Assembly Act.

The motion was supported by all Dar es Salaam based opposition MPs and a section of MPs from the ruling party.

In response the National Assembly speaker said: “We will not discuss the motion and instead I direct the committee on ethics privileges and powers to investigate the matter and bring before the house a report.”

Mid this week, deputy Finance minister Adam Malima, asserted that the government hasn't sold any of its shares in the Dar es Salaam Transport Company (UDA) to the Simon Group Company.

Malima gave the government’s stance when responding to a question raised by Kawe MP, Halima Mdee (Chadema) who sought government’s explanation on its shares in UDA.

Mdee also wanted to know the real owner of the Dar es Salaam transport firm and the distribution of shares.

Malima clarified that the government through Treasury Registrar is the owner of the company.

He however said that in 2006 the government expressed intention to sell its shares in order to get a potential investor who would have the ability to improve UDA.

He said the Parastatal Sector Reform Commission (PSRC) was tasked to spearhead the exercise, though the commission failed to find an investor who would meet the requirements.

The minister said in January 2010, the Board of UDA notified the government on the possibility of getting an investor—Simon Group Limited, who would have bought the government’s stake and 7,880,303 unclaimed shares.

“After receiving the recommendations, the government directed the UDA board not to continue with the plan of selling shares to the Simon Group Limited because the procedures and regulations of obtaining the investor were violated,” he said.

In an interview with The Guardian on Monday, Malima reiterated what he said in Parliament last week.

“Didn’t you hear what I said in Parliament about UDA? The statement stands,” said Malima before handing up the phone.

SOURCE: THE GUARDIAN
 
Inaelekea wafanyabiashara wanajua namna ya kuitikisa serikali vilivyo ili kupata wakitakacho.Kwenye hili ninaogopa tutashuhudia mengi ngoja tusubiri.
 
Huku ni kupeana ulaji tu!
Speaker directs probe into UDA ownership controversy
Anne Makinda anafaa atujuze nani mmiliki wa Uspika wake!

Umepata kuona wapi Bogi/Behewa la Treni la jiongoza lenyewe ?

Chezeya mafisadi Mr Rocky!!!! Tulibaki mdomo wazi tulipoyasikia madudu ya fisadi Mkapa alipokuwa Ikulu, ya Kiwira Coal Mining, Rada, EPA na mengine chungu nzima. Ukiona Rais wa nchi anatangazwa hadharani kwamba naye ni mmoja wa mafisadi halafu anaendelea kukenuakenua tu bila kutia neno basi ujue nchi hiyo ina matatizo makubwa sana yanayohusiana na ufisadi.

BAK hapa wewe unasemaje au uko upande gani au unataka kubaki upande wa Mzee Mwanakijiji unajiuliza na wewe nani mmiliki wa UDA
 
Last edited by a moderator:
Chezeya mafisadi Mr Rocky!!!! Tulibaki mdomo wazi tulipoyasikia madudu ya fisadi Mkapa alipokuwa Ikulu, ya Kiwira Coal Mining, Rada, EPA na mengine chungu nzima. Ukiona Rais wa nchi anatangazwa hadharani kwamba naye ni mmoja wa mafisadi halafu anaendelea kukenuakenua tu bila kutia neno basi ujue nchi hiyo ina matatizo makubwa sana yanayohusiana na ufisadi.

Tatizo BAK swali bado ni zito nani mmiliki wa UDA maana kama Simon anatamka kwa nguvu zote na ujasiri kuwa yeye nmi mmiliki wa UDA huku waziri akija na maelezo yake ya ajabu bado tunauliza nani mmiliki wa UDA
Mkuu washachukua kila kitu kwa sasa na swali la Mzee Mwanakijiji hapo juu ni la muhimu sana maana hatuna uhakika kama ipo mikononi mwetu au kuna mtu anaiongoza kwa remote control kutoka somewhere
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Halafu kuendeleza usanii imeundwa Tume ambayo itatafuna mabilioni ili "kumjua mmiliki halali" wa UDA wakati hili linaweza kufanywa ndani ya siku moja tu!!!! Ndio nchi yetu hii hatuwezi kustaajabu tena kwa madudu yanayofanywa kila kukicha na bado kuna watu wanaimba MACCM ni nambari one!!!! Tena wengine ni wasomi!!!!

BAK wanaweza wakawa wanaimba ila deep inside kunawaka moto au kama wanaimba wanaweza wakawa ni beneficiaries wa mfumo uliopo kuna wanachokipata au biashara zao au maisha yao yanategemea sana uwepo wa CCM na ikindoka madarakani kila kitu kitasimama
Maana hali za maisha ya wananchi huko vijijini ni mbaya na zimeendelea kuwa mbaya kwa kuwa hakuna huduma zozote za kijamii zinazopatikana kule
Ukiwa kwenye mikoa mingine unaomba usiumwe au kushikwa tuu na hata malaria maana unaweza kuishia kufa maana hospital ya mkoa au wilaya iko Kilometa sabini kutoka ulipo na barabara ni mbaya au hakuna barabara kabisa na unaweza kwenda kwenye hiyo hospital ukaambiwa dawa hakuna
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Naam Mkuu Mr Rocky baadhi wanafaidika japo kidogo sana kwa ubwabwa, Buku 7 na wengine vijisenti vichache ndani ya vibahasha. Usisikie Mkuu kuna baadhi ya mikoa hutaki hata kutia mguu maana ikitokea bahati mbaya ukaugua huko basi ndio inaweza kuwa safari ya kwa Muumba wetu. Hali ya maisha katika sehemu nyingi nchini inatisha sana jinsi wengi wanavyoishi katika ufukara wa kutisha.

Juzi juzi tu hapo bungeni nimestushwa kusikia kuwa chuma chetu na makaa yetu ya mawe kule Mhcuchuma na Liganga 80% ya umiliki wa maliasili hii ni ya kampuni kutoka nje na sisi kupitia NDC tunamiliki kiduchu 20%!!! Hii kweli haingii akilini hata kidogo kuwa hawa wahindi ambao ukichunguza nyuma yao wako viongozi wa nchi ndio wapewe umiliki wote wa mali ya nchi yetu!! Hawa viongozi wetu wana akili ya aina gani? Huu ufisadi unaofanywa mchana kweupe kwanini tunauachia uendelee unabated? Hebu chunguzeni hiyo kampuni iliyopewa umiliki wa chuma na makaa ya mawe kama hamjamkuta Subash Patel huko!!!Kwa staili hii mnayotumia kuifilisi nchi huku watoto wetu wakifa kwa dengue ndio jeshi linaweza kuchukua nchi na wala sio kwasababu wananchi wanataka serikali tatu.!!!!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Naam Mkuu Mr Rocky baadhi wanafaidika japo kidogo sana kwa ubwabwa, Buku 7 na wengine vijisenti vichache ndani ya vibahasha. Usisikie Mkuu kuna baadhi ya mikoa hutaki hata kutia mguu maana ikitokea bahati mbaya ukaugua huko basi ndio inaweza kuwa safari ya kwa Muumba wetu. Hali ya maisha katika sehemu nyingi nchini inatisha sana jinsi wengi wanavyoishi katika ufukara wa kutisha.

Na hiyo ni maeneo mengi sana ya Tanzania mkuu sio machache
Vijijini hali inatisha ila hao viongozi wetu wanapambana kuunda tume za kilaji kila siku huku matokeo ya tume hizo wakiwa hawayapendi wala hawayafanyii kazi zaidi ya kuwatukana walioteuliwa na wao wenyewe
Ni hatari sana mkuu BAK
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Halafu kuendeleza usanii imeundwa Tume ambayo itatafuna mabilioni ili "kumjua mmiliki halali" wa UDA wakati hili linaweza kufanywa ndani ya siku moja tu!!!!

Yani this is a joke. Sijui mtu ulie au ucheke. Kama vile kampuni ipo registered Cayman Islands kumbe ni hapo Lumumba street.

Hakuna uhitaji wowote kuunda kamati. One phone call and you get all the necessary information.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hivi ni kweli serikai ikitaka kujua kuwa kampuni flan inamilikiwa na nani, ni mpaka iundwe tume?
 
Back
Top Bottom