Spare za rav 4 2007 zinapatikana wapi hapa tanzania

mzee wa manzese

JF-Expert Member
Oct 31, 2012
670
215
Ninayo toyota rav 4 ya mwaka 2007,nilikuwa safari narudi nakuta vibaka wamesafisha gari, wameiba Front Bamper,Taa za mbele,side mirror zote,power window,control,radio na Ac control

je nitapata wapi vifaa hivi hapa tz
 

Attachments

  • Rav 4.jpg
    Rav 4.jpg
    37 KB · Views: 138
Pole sana mzee wa manzese,zinapatikana weke chasis number ya gari yako tukupe bei,tukielewana tunafanya biashara
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom