enockino
JF-Expert Member
- Oct 14, 2014
- 272
- 171
Msaada wa namba zake sisi wa mikoani tuwasiliane nayeSpare part za Honda sio tatizo, kama upo Dar/ Tanzania kuna jamaa ni dealers wa spare za Honda ni ZIZOU spare parts wapo mkabala na machinga complex.