Spanco | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Spanco

Discussion in 'Matangazo madogo' started by JASX, Sep 26, 2012.

 1. J

  JASX Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 26, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Poleni na kazi wana jf. Naomba mnielekeze zilipo ofisi za spanco inayohusika na customer care representative.
   
 2. d

  dbrane Member

  #2
  Sep 27, 2012
  Joined: Jul 23, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  airtel building morroco. Ukifika uliza kwa mlinzi utamkuta amekaa mkono wa kushoto kwenye kimeza kidogo. Wish u luck
   
 3. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,333
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Spanco imehamishia ofisi zake jengo la quality centre ilipo Uchumi supermarket. Ukifika pale yanapopaki magari Ingia upande wa kushoto, au muulize hata mlinzi atakuelekeza.
   
Loading...