Spacio

uzewela

Senior Member
Jul 29, 2020
119
255
Natafuta Toyota Spacio New model (kibongo bongo) yenye cc 1490 na milage isiyozidi 100,000km. Iwe kwenye hali nzuri,sihitaji madalali, nafanya ya biashara na Owner
Rangi ikiwa silver itapewa kipau mbele
Namba DQ itakuwa vzr zaidi.njoo na offer yako kama reasonable tunafanya biashara.kama unalo nipm kwa ajili ya biashara kesho.asante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom