peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 12,775
- 21,335
Kilio cha wafanyabiashara kifanyiwe kazi, IGP mkuu wa kitengo cha intelijensia polisi mkoa wa kilimanjaro SP MWAIJA amekuwa kero kwa wafanyabiashara kwenye mkoa wa kilimanjaro.
SP Mwaija amekuwa akiwapatia vitisho pale ambako anakuomba rushwa na kutompatia.Mara nyingi amekuwa akuwaita ofisini kwake au kuwapigia simu wafanya biashara kwa lengo la kuomba na kulazimisha kupewa rushwa.wakimlalamikia kuwa hali ni mbaya anasema wafanyabiashara wote ni wapinzani na atatukomoa na kusema taarifa zote za wafanyabiashara anazo na atazipeleka mbali ambapo huko mbali wafanyabiashara hawapajui na asemi ni wapi na ni taarifa gani anazo.
Wafanyabiashara wamekuwa na hofu kubwa kwani anasema atawabambikia wafanyabiashara kesi kwani kila mara anawaambia wafanyabiashara kuwa yeye ni under carpet na atawamaliza kama hawatampatia pesa.
Kila mara analalamikia wafanyabiashara kuwa kitengo chake hakina mafungu ya fedha hivyo ni lazima kupewa fedha .
Mateso wanayo yapata wafanyabiashara kilimanjaro ni makubwa na kufikia mahali kushindwa kulipa kodi za serikali TRA kisa SP Mwaija.
Tunaiomba serikali yetu tulivu ta awamu ya tano, kumuhamisha huyu askari kwani wafanyabiashara wameteseka kwa muda mrefu na wameshindwa kutambua pa kupeleka kilio chao,jana alitembelea mojawapo ya hotel maafuru ya kitaliii iliyopo shanty town mjini moshi akidai mmliki waa hotel hiyo ampatie rushwa ya tsh 500,000 vinginevyo atatoa taarifa vyombo vya juu kuwa kuna mgeni amelala kwenye hotel hiyo mwenye dalili za ugonjwa wa corona, jambo ambalo sio la kweli kwamba wamempokea mgonjwa wa corona aliyekuwa ametoka kupanda mlima kilimanjaro.
Pili sakata la kukutwa kwa shamba la bangi eneo la njia panda ya himo alikuwa analijua na kila mara alikuwa anafika eneo husika na kupewa fedaha ili asitoe taarifa za kuwepo kwa shamba hilo hivyo amekuwa pia akishirikiana na wahalifu na wananchi wasitaka kuitendea nchi yetu mambo mema.wa na Mh. Dr John Josefu Magufuli. SP MWAIJA amekuwa akishirikiana na baadhi ya watu wasio waaminifu kwenye ubadilishaji wa fedha za kigeni mfano fedha za kenya kwenye mpaka wa holili na baadhi ya vijana wanaoijiita forex boy mjini moshi kwa ajili ya kujipatia fedha haramu kwa njia haramu.
Ni matumaini yetu kuwa kilio chetu kitasikilizwa na kufanyiwa kazi mapema kwani wafanyabiashara wanateseka sana . IGP na waziri wa mabo ya ndani tuna imani nawe pamoja na serikali yetu tukufu inayoongozwamna Mh. Dr John Joseph Magufuli.