Sovereignty & Statehood of Zanzibar in the Union: Critical Comments on S.M.Z .v. Machano & 17 Others

EIGHTIESTHROWBACK

JF-Expert Member
Aug 4, 2016
328
275
shiv1.jpg

Prof. Issa Shivji

“The conclusion from this quick examination of the Zanzibar Constitution is that Zanzibar is a sovereign and a state, albeit its sovereignty is limited and the jurisdiction of the Executive and the Legislature is limited to non-union matters in Zanzibar while its Judiciary, as epitomized by the High Court, has unlimited jurisdiction. A Mzanzibari owes allegiance to the state of Zanzibar and therefore an offence of treason can be committed against the state of Zanzibar. This is irrespective of the fact that treason may be stipulated as an offence in the union law; nevertheless it can be tried in the courts of Zanzibar.”

Pasco el al

na Ma GT wengineo

Naomba tuuchambue hii papar in detail maana lawman zimezidi kuwa Jamiiforums imekuwa jukwaa la mipasho kati ya ma trolls ( vijana wa Lumumba na Bavicha) na issues hazikatwi anymore naomba tuirejeshe Jamiifrums to Jamboforums

Mwenye video ya PM Pinda aliposema kuwa Zanzibar siyo nchi atuwekee hapa maana nimetazama Youtube sijafanikiwa

Angalizo. Prof Shivji ameweka extensive references kwenye bibliography yake

Zanzibar is both, a state and a sovereign in the Union – Prof. Shivji
 
Mkuu Eightthrowback, kwanza asante kwa mada hii, nimeusoma mchango wake, na imetokea mimi ni mwanafunzi wake pale UDSM, hivyo siwezi kumkosoa mwalimu wangu ila kwenye hili la sovereinity ya Zanzibar kuwa uhaini unaweza kutendeka Zanzibar, kisheria yuko right ila kwa hali halisi, uhaini hauwezi kufanyika Zanzibar kwa sababu Zanzibar sio dola.

1. Muungano wetu ni Muungano wa ajabu kabisa hapa ulimwenguni kwa sababu ni Muungano wa union yaani nchi ni moja yenye serikali mbili. Serikali ya JMT yenye dola na serikali ya SMZ ambayo, haina dola, hivyo SMZ ni kaji federation ndani ya union, hivyo SMZ haiwezi kupinduliwa kwa sababu sio dola, haina sovereignty.

2. Andishi hili ni la mwaka 2008, lakini katika mabadiliko ya katiba ya Zanzibar ya mwaka 2010, Zanzibar imetajwa kama nchi yenye mipaka yake ya kijiografia, serikali yenye sovereignty yake yenye rais ambaye ni amiri jeshi wa vikosi vya SMZ, hivyo kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar, Zanzibar ni nchi kamili na Tanzania bara ni nchi kamili hivyo wanautambua muungano wetu kama muungano wa nchi mbili. Kwa muktadha wa katiba ya Zanzibar, uhaini unaweza kufanyika Zanzibar.

3. Lakini ndani ya katiba ya JMT, Zanzibar sio nchi, nchi ni JMT na Zanzibar ni sehemu ya JMT. Hivyo uhaini hauwezi kufanyika Zanzibar kwa sababu Zanzibar sio dola, Tanzania ni nchi moja ya JMT na Zanzibar ni sehemu tuu ya JMT inayojitawala kwa utawala wake wa ndani usio na dola hivyo SMZ hauwezi kupindulika bila kuipindua JMT.

4. In reality Tanzania ni nchi moja yenye serikali moja yenye dola na serikali ya pili isiyo na dola. Hii serikali isiyo na dola haiwezi kupinduliwa.

5. SMZ ndani ya muungano ni kama serikali ya mtaa, na hivyo vikosi vya SMZ ni kama migambo ndani ya JMT, hivyo ni vyombo vya dola ndani ya SMZ, ila ndani ya JMT, SMZ ni serikali ya Mtaa.
Paskali
 
shiv1.jpg

Prof. Issa Shivji

“The conclusion from this quick examination of the Zanzibar Constitution is that Zanzibar is a sovereign and a state, albeit its sovereignty is limited and the jurisdiction of the Executive and the Legislature is limited to non-union matters in Zanzibar while its Judiciary, as epitomized by the High Court, has unlimited jurisdiction. A Mzanzibari owes allegiance to the state of Zanzibar and therefore an offence of treason can be committed against the state of Zanzibar. This is irrespective of the fact that treason may be stipulated as an offence in the union law; nevertheless it can be tried in the courts of Zanzibar.”

Pasco el al

na Ma GT wengineo

Naomba tuuchambue hii papar in detail maana lawman zimezidi kuwa Jamiiforums imekuwa jukwaa la mipasho kati ya ma trolls ( vijana wa Lumumba na Bavicha) na issues hazikatwi anymore naomba tuirejeshe Jamiifrums to Jamboforums

Mwenye video ya PM Pinda aliposema kuwa Zanzibar siyo nchi atuwekee hapa maana nimetazama Youtube sijafanikiwa

Angalizo. Prof Shivji ameweka extensive references kwenye bibliography yake

Zanzibar is both, a state and a sovereign in the Union – Prof. Shivji
Mkuu kuna case ambayo iliiamuliwa na mahakama ya rufaa ambayo ilishasema kwamba Zanzibar is not a sovereign state na hivyo haiwezi kupinduliwa.
 
Hakuna wa kuchangia mada ya weledi kama hii ambayo inahitaji high mental power reasoning and high knowledge of constitution making analysis humu nowadays, kumejaa chekechea wa Lumumba.
 
..ni kweli...ni mada inayohitaji weledi wa kutosha (zaidi ya wastani) ktk elimu ya katiba na sheria....tunawasikilia wachangiaji wenye sifa hizo, na kwa michango yao, sisi tusiokuwa na weledi wa kutosha ktk katiba na sheria tunaweza pata mawili matatu ya kutuongoza kuchangia....shime wazalendo ktk jamiiforums!
 
Bila kuwasahau chekechea wa bavicha
 
..ni kweli...ni mada inayohitaji weledi wa kutosha (zaidi ya wastani) ktk elimu ya katiba na sheria....tunawasikilia wachangiaji wenye sifa hizo, na kwa michango yao, sisi tusiokuwa na weledi wa kutosha ktk katiba na sheria tunaweza pata mawili matatu ya kutuongoza kuchangia....shime wazalendo ktk jamiiforums!
Enzi za Jamboforums kulikuwa na intellectuals of every field humu, wengi wamesusa baada ya kuvamiwa na siasa za Lumumba na UKAWA, watoto wa sekondary, primary etc. Nina mifano si vizuri kuwataja watu.
It is a pity kuwa uongozi wa JF umeiacha hii trend ikaota mizizi. Umekuwa uwanja wa kuchafuana kisiasa, tena kuchafua mlango mmoja mwingine ukiachwa.
 
Mkuu kuna case ambayo iliiamuliwa na mahakama ya rufaa ambayo ilishasema kwamba Zanzibar is not a sovereign state na hivyo haiwezi kupinduliwa.
Shivji ameifafanua na kaifukuafumua hiyo kesi na conclusion yake ndio hii paper....
 
Hakuna wa kuchangia mada ya weledi kama hii ambayo inahitaji high mental power reasoning and high knowledge of constitution making analysis humu nowadays, kumejaa chekechea wa Lumumba.
Mbaya zaidi admin aka Max aliamua kuwa threads au topics zenye kuhitaji uchambuzi wa kina na akili ziondolewe na akazifungulia subforum inaitwa great thinkers or something like that ili jukwaa la siasa....the most poplar sub forum ibaki na siasa za maji taka

Yaani mwenye JF anaogopa zile topics zilizopaisha JF kisha katubakisha hapa kwenye jukwaa la siasa na ma imbeciles wa lumumba na bavicha

Basically JF imekuwa kisima cha anti intellectualism.
 
Very true amebakiza jukwaa la makapuku wa simple minds, discussing events, people etc! . Umenifungua, I need to reconsider my participation in this siasa sub forum! Hapa ni kwa Makapuku wacha wasuguane! GT nadhani ni members kwa ruhusa maalum!
 
Hakuna wa kuchangia mada ya weledi kama hii ambayo inahitaji high mental power reasoning and high knowledge of constitution making analysis humu nowadays, kumejaa chekechea wa Lumumba.
Mada kama hii inahitaji watu wenye weledi wa sheria hususan constitutional law. Ambao sio weledi wa uwanja huo watachangia nini cha maana? Wewe kwenye mada nzito kutoka uwanja ambao hukusomea huwa unachangia nini?

Kwenye mada kama hizi ambazo sina weledi nazo binafsi huwa navuta kiti na kujifunza kwa bidii ili kujiongezea elimu kwa sababu najua nikikurupuka kuchangia si ajabu nikaishia kutukanwa na kubezwa (jambo la kawaida hapa JF).

Nadhani hii ndiyo point kubwa ya JF. Kushea knowledge zetu kila mmoja katika field yake aliyosomea hasa katika mada nzito nzito. Sasa wewe ume-generalize hapa kama vile wote humu tumesoma constitutional law; na ukashindwa hata kuficha ushabiki wako wa kisiasa (chekechea wa Lumumba). Umeshindwa kwanza kutoa kiberenge kwenye jicho lako kabla hujalenga shabaha. You missed!
 
2. Andishi hili ni la mwaka 2008, lakini katika mabadiliko ya katiba ya Zanzibar ya mwaka 2010, Zanzibar imetajwa kama nchi yenye mipaka yake ya kijiografia, serikali yenye sovereignty yake yenye rais ambaye ni amiri jeshi wa vikosi vya SMZ, hivyo kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar, Zanzibar ni nchi kamili na Tanzania bara ni nchi kamili hivyo wanautambua muungano wetu kama muungano wa nchi mbili. Kwa muktadha wa katiba ya Zanzibar, uhaini unaweza kufanyika Zanzibar.

Mkuu Pascal Mayalla, Hakuna nchini iitwayo Tanzania bara, sababu Nchi ya Zanzibar iliungana na Tanganyika na kukazaliwa Nchi iitwayo Jamuhuri ya Muungano wa TANGANYIKA NA ZANZIBAR.Na baadaye ikaja kuitwa Jamuhuri ya Muungano wa TANZANIA au TANZANIA:
Kwahiyo tafadhalini wachangiaji msizidi kuwapotosha wanajamii.
Tanganyika ni Nchi kamili na Zanzibar ni Nchi kamili.
 
Sio kweli .Wizara zisizo za Muungano ziko seikali gani? ST au SMZ?Hivyo kwa ujumla tuna serikali ngapi? Mbili au tatu au NNE?Hebu tuelimisheni ma professor naona tunachanganyikiwa kinyume na tulivyofundishwashule za awali kwamba ( 1+1+1= 3)
 
Back
Top Bottom