Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,272
- 1,035
wenzio wanakesha kwa waganga wanatafuta MIMBA!shauri zako.sasa naanza kupata mwanga aksante Mkodoleaji ile link ulinipa kwa ufafanuzi zaidi nimesoma vitu vingi na ile ambayo kuna debate kuhusu human right (child) na infant circumcision kuwa kumtahiri mtoto mdogo (wa kiume) ni kukosea sasa sijui wanataka kina kaka wakatwe wakiwa na umri gani mwishowe watasema hata kukata ni kinyume na haki za binadamu kwa vile kinahusisha maumivu au kuumiza mwili duh---- na sisi tutadai ni kinyume cha haki za binadamu kwa mwanamke muongeza ujazo wa dunia ---aeh si kuna maumivu pia?
nilijaribu kumsihi wife tuishie mtoto mmoja AMEKATAA KATA KATA!anataka wanne