Southern Africa is losing US$30 billion annually as a result of financial outflows

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
> New research by Action for Southern Africa (ACTSA) finds that the Southern African Development Community (SADC) region loses US$8.8 billion in trade-related illicit outflows and US$21.1 billion in external government debt payments per year

> Resources for economic and social rights in Southern Africa are severely diminished due to huge financial outflows resulting from a highly unequal international economic order

013DA7BC-BE86-4537-8CDE-FDF045509940.png

According to a new report, The Money Drain: How Trade Misinvoicing and Unjust Debt Undermine Economic and Social Rights in Southern Africa, launched today by ACTSA on the eve of the SADC Summit in Dar es Salaam, rich countries may be accused of neo-colonialism if they fail to assist SADC countries to address these financial outflows.

While SADC governments are primarily responsible for realising the economic and social rights of their citizens, the governments of rich countries have significant legal and moral obligations to support these efforts. The report demonstrates that the scale of unrealised economic and social rights in Southern Africa remains immense. For example, the youth unemployment rate is 31%, 5.4 million people are undernourished, there are at least 617,400 new HIV infections a year, and more than 40% of the population in 12 countries do not have access to basic sanitation services.

3E223EB7-4D66-435E-BE59-7E2D9F83C33B.jpeg

Meanwhile, as a result of trade misinvoicing, the SADC region loses at least US$8.8 billion a year from trade-related illicit outflows. After falsely declaring the price, quantity or quality of a good or service on an invoice submitted to customs, criminals can use intermediaries in secrecy jurisdictions to capture and divert illicit profits to offshore accounts. The report estimates that South Africa alone is drained of at least US$5.9 billion a year due to trade-related illicit outflows.

The SADC region is losing even more – at least US$21.1 billion a year – from external government debt payments. The external debts of governments are not necessarily problematic for their citizens. But some of the region’s external public debt is illegal, some is odious, and some is illegitimate. The report calculates that Angola alone is drained of US$12.1 billion a year in principal and interest payments on public debt. Moreover, Southern Africa, parts of which were devastated by Cyclones Idai and Kenneth earlier this year, is owed major climate debts by rich countries.

B0642D3A-15F9-4E81-BA6A-F7C2D3423A82.jpeg

Multilateral institutions dominated by rich countries, such as the Organisation for Economic Co-operation and Development (OECD) and the G20, have raised concerns about trade misinvoicing and debt in poorer countries. Yet progress on tackling trade misinvoicing is fragmented and slow, and virtually nothing has been achieved to ensure debt justice.

Sunit Bagree, ACTSA’s Senior Campaigns Officer and author of the report, said: “It’s a scandal that rich countries barely seem to care that Southern Africa is haemorrhaging money. A broken international economic system is, fundamentally, why trade misinvoicing and unjust debt are depriving SADC governments of massive funds that they could use to realise economic and social rights for the many people living in poverty in the region. SADC governments can certainly do more, for example by employing innovative tools to detect potential misinvoicing of trade transactions and organising comprehensive public debt audits. But they must also call out powerful international countries for failing to live up to their responsibilities and turning their collective backs on vulnerable people in Southern Africa.”

The full report can be downloaded here.
 
Bara la giza!!!!

Katika hali hii,utashangaa nchi za kiafrika zinashindana kuagiza mandege na mavitu mengine kutoka Ulaya wakati nchi zenyewe zimeelemewa na madeni makubwa huku biashara yenyewe haina faida.

Tatizo kubwa la nchi zetu za kiafrika ni kuendelea kuwa soko la bidhaa na huduma zinazotoka Ulaya na katika mabara mengine huku sisi hatuzalisha vya kutosha katika nchi zetu na hata vile tunavyouza kwenda nje ya nchi vinauzwa vikiwa na thamani ndogo kwahiyo biashara kati ya sisi na wenzetu haija-balance hivyo ni lazima tuendelee kuwa masikini tunnaoishi kwa kutegemea misaada na mikopo kutoka ulaya na kwingineko.

Kingine ni kuwa,hawa watu weupe hata wakija kuwekeza katika nchi zetu, wanawekeza kwa mikataba ya kinyonyaji kutokana na ubinafsi wa viongozi wa nchin zetu za kiafrika hivyo hata maliasili zetu nazo zinakuwa hazitusaidii kiuchumi!!

In short,ukiacha wizi,udanganyifu,ubadhirifu,sheria mbovu na mifumo mibovu ya kiutwala tulionayo inayochangia wizi na ubadhirifu katika nchin zetu,hayo hapo juu ni moja ya mambo yanayochangia sisi kuwa masikini na kuwa na mzigo mkubwa wa madeni maana katika nchi zetu, hatuzalisha vya kutosha na hivyo hakuna ajira za kutosha( which means mapato ya PAYE katika serikali zetu yanakuwa madogo) na pia kama hakuna uzalishaji maana yake ni kuwa kunakuwa hakuna biashara za kutosha zinazoweza kuingizia nchi zetu mapato ya kutosha kupitia kodi na hii maana yake tutabaki kukopa sana huku uwezo wetu wa kulipa ukiwa ni mdogo.

Wenzetu hata wakikopa,mapato yao ni makubwa kuwawezesha kumudu kuhudumia madeni yao kwani katika nchi zao uzalishaji uko juu.

Kama tutaendelea kutumia sehemu kubwa ya mapato yetu kuagiza bidhaa na hudumu kutoka nje ya bara letu huku katika nchi zetu uzalishaji ukiwa chini na wakati huo huo tunavyozalisha(japo ni kidogo) navyo vikiwa havina thamani na visivyomudu ushindani katika soko la dunia,basi tujue tu sisi tutaendelea kuwa masikini na tutalazimika tu kukopa ili maisha yaende.
 
Money laundering is laundering when such money comes from Europe or America to Africa.

But it is not money laundering when it goes to Swiss, Bahamas or Cayman islands offshore banks etc. From Africa

Africa should also allow illicit money to come to Africa from Europe ,America etc
 
Africa adui yetu mkubwa ni wachache walio kwenye dhamana ya biashara na serikalini wana-shirikiana kutupiga.

Inflation ya bei za vitu na huduma hata kwa manunuzi ya humu ndani mbona haya mambo zamani yalikuwa kawaida sana. Mtu anajua bei ya kalamu kwa jumla ni sh
80 kila moja ila wananunua kwa bei za procurement sh 500-1,000.

Kama practice kwa local purchasing ilikuwa inanuka harufu za deal; inakuwaje kwa purchasing za imports tena ya vitu toka ughaibuni.

Mara kwa mara huwa nasisitiza si kila msomi anastahili kuwa kwenye nafasi fulani. Kusoma nibl kitu chema hata mimi naunga mkono; pasipokuwa na watu wenye character ya stewardship hasa kwa makatibu wakuu; ma-ras na watu wa purchasing; tutaendelea kupigwa. Maana wezi wako "jikoni" wanakula deal na manyang'@u.

Ee Mungu saidia.
 
Money laundering is laundering when such money comes from Europe or America to Africa.

But it is not money laundering when it goes to Swiss, Bahamas or Cayman islands offshore banks etc. From Africa

Africa should also allow illicit money to come to Africa from Europe ,America etc
👍! I second you!
 
Bara la giza!!!!

Katika hali hii,utashangaa nchi za kiafrika zinashindana kuagiza mandege na mavitu mengine kutoka Ulaya wakati nchi zenyewe zimeelemewa na madeni makubwa huku biashara yenyewe haina faida.

Tatizo kubwa la nchi zetu za kiafrika ni kuendelea kuwa soko la bidhaa na huduma zinazotoka Ulaya na katika mabara mengine huku sisi hatuzalisha vya kutosha katika nchi zetu na hata vile tunavyouza kwenda nje ya nchi vinauzwa vikiwa na thamani ndogo kwahiyo biashara kati ya sisi na wenzetu haija-balance hivyo ni lazima tuendelee kuwa masikini tunnaoishi kwa kutegemea misaada na mikopo kutoka ulaya na kwingineko.

Kingine ni kuwa,hawa watu weupe hata wakija kuwekeza katika nchi zetu, wanawekeza kwa mikataba ya kinyonyaji kutokana na ubinafsi wa viongozi wa nchin zetu za kiafrika hivyo hata maliasili zetu nazo zinakuwa hazitusaidii kiuchumi!!

In short,ukiacha wizi,udanganyifu,ubadhirifu,sheria mbovu na mifumo mibovu ya kiutwala tulionayo inayochangia wizi na ubadhirifu katika nchin zetu,hayo hapo juu ni moja ya mambo yanayochangia sisi kuwa masikini na kuwa na mzigo mkubwa wa madeni maana katika nchi zetu, hatuzalisha vya kutosha na hivyo hakuna ajira za kutosha( which means mapato ya PAYE katika serikali zetu yanakuwa madogo) na pia kama hakuna uzalishaji maana yake ni kuwa kunakuwa hakuna biashara za kutosha zinazoweza kuingizia nchi zetu mapato ya kutosha na hii maana yake tutabaki kukopa sana huku uwezo wetu wa kulipa ukiwa ni mdogo.

Wenzetu hata wakikopa,mapato yao ni makubwa kuwawezesha kumudu kuhudumia madeni yao kwani katika nchi zao uzalishaji uko juu.

Kama tutaendelea kutumia sehemu kubwa ya mapato yetu kuagiza bidhaa na hudumu kutoka nje ya bara letu huku katika nchi zetu uzalishaji ukiwa chini na wakati huo huo tunavyozalisha navyo(japo ni kidogo) vikiwa havina thamani katika soko la dunia,basi tujue tu sisi tutaendelea kuwa masikini na tutalazimika tu kukopa ili maisha yaende.

Tukiacha kusafiri na ndege tutasafiri na nini? Punda?
 
Money laundering is laundering when such money comes from Europe or America to Africa.

But it is not money laundering when it goes to Swiss, Bahamas or Cayman islands offshore banks etc. From Africa

Africa should also allow illicit money to come to Africa from Europe ,America etc
Sisi ni wepesi sana wa kutazama mambo kwa ufupi sana.

Hivi mwananchi wa Nyamato, Kidogobasi, Mkumbara au Kadewele wanahusika vipi na hili?
Wananchi hao wanajua nini kuhusu Uswiss, Bahama au Cayman?

Ukiwauliza Uswiss watakuambia ni aina ya mchuzi wa kizungu, Bahama ni eneo walilohamia watu, na Cayman ni ng'ombe wa mtamba.

Take the Bull by the horns !

Wanohamisha pesa za Afrika ni viongozi wa nchi hizo.
Tusiwalaumu wenye mabenki kwani kuhifadhi pesa ni kazi yao.

Kwanini viongozi wa Afrika wanaweka pesa huko? Jibu ni kuwa pesa hizo ni haramu

Tatizo ni viongozi wa Afrika, si Afrika au watu wake.Tatizo si nchi za ''Southern Africa''

Viongozi wanahamisha pesa na wakati mwingine wanasaidia kufanikisha miamala ya wafanyabiashara.

Tuliwahi kuambiwa kuna Watanzania wameficha vijisenti Uswiss! Jiulize sakata liliishaje!
 
Kuna zinazohamishwa na viongozi lakini kuna ambazo wazungu wanatupiga kwa mbinu nyingi kama vile Transfer Pricing na Base Erosion and Profit Shifting.

Hapa hawa wenzetu wanatumia makampuni mama na makampuni tanzu kutupiga. Makampuni makubwa ya nje yanafanya michezo hiyo, unakuta kampuni imewekeza hapa ila suppliers wake na service providers wake ni makampuni yake yaliyopo ughaibuni.
 
Money laundering is laundering when such money comes from Europe or America to Africa.

But it is not money laundering when it goes to Swiss, Bahamas or Cayman islands offshore banks etc. From Africa
Kwahiyo pesa zikipelekwa kwenye tax heaven as well as excessive confidentiality countries ndo inakuwa money laundering?! Hivi nyie watu wa Lumumba sijui huwa mnakwama wapi!!!

Of course, zikitoka Europe or America kuna uwezekano mkubwa zikawa zimeingia Afrika kusafishwa, kwa sababu, drugs money kwa mfano, unaweza ku-smuggle to Afrika na kuja kuwekeza kwenye clean investments! But the same drug money ikitoka Afrika kurudi America, haitakuwa tena drug money bali itaonekana ni money from mining sector, real estate sector, trade etc, na hapo inakuwa imeshasafishwa/laundered!
 
Interesting Infographic.

Deni to GDP ratio na Deni to Population ratio vingekolezea tarakimu hizo.

One of my role-model presidents ni Sam Nujoma. Alipata bahati ya kwamba Namibia ilikuwa ndio nchi ya mwishomwisho kupata uhuru kusini mwa Afrika. Hivyo alikuwa amepata muda mzuri kujua matatizo makubwa yanayozikumba nchi zilizotangulia kupata uhuru.

Mara tu baada ya uhuru, mashirika makbuwa ya kukopesha yalienda Namibia kutoa 'ofa' ya kuikopesha. Rais Sam Nujoma reportedly aliwauliza, "Do you think we are just another African country? Hatutaki mikopo yenu!"

Hiyo infographic inaonesha inawezekana kastori hako ka Nujoma kana kaukweli.

Mahali pengi hela zinavuja kutoka nchi za Afrika kwenda nje, bila ulazima. Mfano:

  1. Mtu akitumia kadi ya benki moja Tanzania kutoa hela kwenye benki nyingine Tanzania (zisizotumia Umoja Switch), pana hela kidogo inaenda nje ya nchi.
  2. Mtanzania anawekewa mikingamo mingi kupokea hela kutoka nje, kuliko ilivyo kwenye matumizi. (e.g., Unaweza kuspend kwa Paypal, lakini huwezi kupokea -- honestly hii sikuwahi kuuelewa uamuzi huu ulivyofikiwa).
  3. Biashara nyingine ziko Tanzania, zinalipiwa nje ya Tanzania. Sina uhakika iwapo malipo hayo yanakuwa accounted huku.
La kushukuru ni kwamba serikali zimeanza kurekebisha mambo hayo.
 
Kuna zinazohamishwa na viongozi lakini kuna ambazo wazungu wanatupiga kwa mbinu nyingi kama vile Transfer Pricing na Base Erosion and Profit Shifting.

Hapa hawa wenzetu wanatumia makampuni mama na makampuni tanzu kutupiga. Makampuni makubwa ya nje yanafanya michezo hiyo, unakuta kampuni imewekeza hapa ila suppliers wake na service providers wake ni makampuni yake yaliyopo ughaibuni.
Mkuu hapa kuna maeneo mawili:

1. Kuhusu transfer pricing and Base erosion and profit shifting(BEPS) haya si mambo unique kwa nchi za Afrika. Nchi zilizoendelea zikiwemo za G20 and OECD zinakutana na changamoto hiyo. Ndiyo maana wameweza kuja na arm's length transaction rule ingawasi effective sana

2. Kwetu sisi kuna matatizo mawili, kwanza ni direct halafu indirect

a) Direct: Kwamba viongozi wanakomba na kuficha Uswiss na kwingineko mabilioni ya pesa

b) Indirect: Kufumbia macho transfer pricing and BEPS japo katika mikataba kwa uchache kwa matumaini ya kujaziwa pesa Uswiss hata pale inapowezekana kuzuia

Mfano, tulikuwa na sera ya ''tax holiday' kuvutia wawekezaji. Sheria haikwenda mbali kuwa na ''strings attached '' hivyo ikawa abused. Baada ya miaka 5 wanabadili jina au wanauza

Niseme tu, viongozi wa Afrika wanafikiri kuwa madarakani kesho, na jambo la kwanza ni namna ya kusafirisha pesa kwenda Uswiss iwe direct au indirect kama nilivyoeleza.

Katika kutufunika macho wanadai tunapigwa, hakuna anayeuliza wale wenzetu wanaotupiga tumechukua hatua gani!

Hatuwezi kwenda mbele kwa excuse za nchi za magharibi ndilo tatizo bila kujitazama kwanza.
 
Kufungua biashara Africa ni kazi mno watu hawajui tu, mimi mgeni ni rahisi kwenda sehemu kama Japan nikafungua biashara kirahisi na kupewa support kabisa na government yao kuliko Tanzania ambayo mi ni local citizen.

Serikali wa kwanza kuwaambia watu wafanye biashara alafu wao ndiyo wa kwanza kua na conditions ngumu za kibiashara, utabanwa kwenye kila kitu kama vile unataka kuuza madawa ya kulevya.

Kama YouTube channel tu unaambiwa ulipie leseni Tanzania kila mwaka, wanategemea watu wafungue biashara ipi?

Kila biashara kabla ya kufungua zaidi ya milioni kadhaa lazima ziende serikalini kwanza, nje badala ya kutoa serikali inasupport hasa vijana na kuwapa ofisi na hela mara nyingine kuhakikisha biashara zao zinakua na process nyingine zote unasaidiwa bure.

Tunaongozwa na vilaza ila wengi hawalioni hilo sababu tuwe honest wabongo wengi vilaza walewale tu. Sad truth no ignorant person wants to hear
 
Kwahiyo pesa zikipelekwa kwenye tax heaven as well as excessive confidentiality countries ndo inakuwa money laundering?! Hivi nyie watu wa Lumumba sijui huwa mnakwama wapi!!!

Of course, zikitoka Europe or America kuna uwezekano mkubwa zikawa zimeingia Afrika kusafishwa, kwa sababu, drugs money kwa mfano, unaweza ku-smuggle to Afrika na kuja kuwekeza kwenye clean investments! But the same drug money ikitoka Afrika kurudi America, haitakuwa tena drug money bali itaonekana ni money from mining sector, real estate sector, trade etc, na hapo inakuwa imeshasafishwa/laundered!
When money comes from Europe or America to the bank in Africa they want us to disclose full details who brings the money for what purpose who receives ,account numbers etc etc but for them money can move seceretly to the secret bank accounts where depositors are hidden ,account numbers are hidden and details are hidden and are not disclosed to anybody. Secret codes of depositors. No transparency to anybody.

But for African banks they want them to monitor everything and give them the report to make sure that every single money that comes to Africa is legal ,open not confidential but this is applicable to Africa not to them. This is not fair.

That it why I insist Africa should allow illicit and confidential money to come to Africa whether cash,bank transfer or whatever. Whoever brings money to Africa let us not harass him or her, Enough is enough.

If somebody is found with billions of dollars,euro or pounds bringing them to Africa he or she should not be asked even a single question.Let him or her go with his or her money wherever. Europe and Ameroca accept confidential money why not us?

Africa should stop harrasiing African brothers and sisters who bring money from Europe, America etc in any form and baptize them with bad names. No. Africa must stop.
 
When money comes from Europe or America to the bank in Africa they want us to disclose full details who brings the money for what purpose who receives ,account numbers etc etc but for them money can move seceretly to the secret bank accounts where depositors are hidden ,account numbers are hidden and details are hidden and are not disclosed to anybody. Secret codes of depositors. No transparency to anybody.
Kwanini wanasafirisha hizo pesa kwa siri?! The answer is simple; wanachofanya ni kinyume na sheria hata za uko Europe and America! Wanasafirisha kwa siri kwa sababu wanafahamu, wakifanya openly to ordinary banks, kinachofanyika kwa mabenki ya Afrika hata huko kitafanyika! Na ndio maana hata wakisafirishwa kwa siri sio kwamba zitaishia kwenye any ordinary bank, but again, to any of those banks known for total secrecy!
But for African banks they want them to monitor everything and give them the report to make sure that every single money that comes to Africa is legal ,open not confidential but this is applicable to Africa not to them. This is not fair.
Not fair? HOW wakati ni sheria zenu wenyewe?! Mambo yalianza kuwa even more tight after September 11," mkaletewa" sheria dhidi ya masuala ya ugaidi na money laundering! Mkajadili bungeni na kupitisha sheria hizo but not under the gunpoint! MLILAZIMISHWA? Badala ya kusema sio fair, just launch a massive campaign au anza kwa angalau kuishauri serikali yako ili sheria zetu za fedha na mabenki zibadilishwe na kuwa na opaque banking system vile Switzerland, Cayman Island, the British Virgin Islands or at least like Singapore or even Mauritius! Ukishakuwa na opaque banking system, "mabeberu" wakiwataka ku-disclose those info mnawaambia tu sheria zetu haziruhusu unless kama mna ushahidi wa kutosha kwamba the money may come from an illegal sources!
That it why I insist Africa should allow illicit and confidential money to come to Africa whether cash,bank transfer or whatever. Whoever brings money to Africa let us not harass him or her, Enough is enough.
Hakuna kinachoitwa confidential money but clean and dirty money! So, labda unachotakiwa ku-insist ni Afrika kuwa na banking system favorable to both, clean and dirty money without questioning the sources, or you just question the source just by formality! Hapa tukumbushane sio kwamba kila pesa inayokimbiziwa Uswisi ni dirty money, hell no! Zingine ni clean money, at least clean by means of the source where the money originates!
If somebody is found with billions of dollars,euro or pounds bringing them to Africa he or she should not be asked even a single question.Let him or her go with his or her money wherever. Europe and Ameroca accept confidential money why not us?
Huwezi kuingia na mapesa mengi US bila ku-disclose zinatoka wapi?! Ni kutokana na hilo, ndio maana kuna issue za money laundering! Mtu ana mkwanja wake wa haja, anachofanya ni kusafisha ili kuziingiza kwenye banking system! Njia moja wapo ndo hiyo, watu wana-smuggle millions of $$$ to any part of the world like Afrika, na wakishafika Afrika wanajifanya kuwekeza ili hatimae wairudishe back to America ikiwa from a known legal source (cleaned)! Hapa pia tukumbushane jambo moja! Zile zinazopelekwa Uswisi and the like sio kwamba zinaenda kusafishwa bali zinaenda kufichwa bila kujali kama ni clean or dirty money!

Africa should stop harrasding African brothers and sisters who bring money from Europe, America etc in any form and baptize them with bad names. No. Africa must stop.
That's up to you and your governments!
 
Kwanini wanasafirisha hizo pesa kwa siri?! The answer is simple; wanachofanya ni kinyume na sheria hata za uko Europe and America! Wanasafirisha kwa siri kwa sababu wanafahamu, wakifanya openly to ordinary banks, kinachofanyika kwa mabenki ya Afrika hata huko kitafanyika! Na ndio maana hata wakisafirishwa kwa siri sio kwamba zitaishia kwenye any ordinary bank, but again, to any of those banks known for total secrecy!
Not fair? HOW wakati ni sheria zenu wenyewe?! Mambo yalianza kuwa even more tight after September 11," mkaletewa" sheria dhidi ya masuala ya ugaidi na money laundering! Mkajadili bungeni na kupitisha sheria hizo but not under the gunpoint! MLILAZIMISHWA? Badala ya kusema sio fair, just launch a massive campaign au anza kwa angalau kuishauri serikali yako ili sheria zetu za fedha na mabenki zibadilishwe na kuwa na opaque banking system vile Switzerland, Cayman Island, the British Virgin Islands or at least like Singapore or even Mauritius! Ukishakuwa na opaque banking system, "mabeberu" wakiwataka ku-disclose those info mnawaambia tu sheria zetu haziruhusu unless kama mna ushahidi wa kutosha kwamba the money may came from an illegal sources!
Hakuna kinachoitwa confidential money but clean and dirty money! So, labda unachotakiwa ku-insist ni Afrika kuwa na banking system favorable to both, clean and dirty money without questioning the sources, or you just question the source just by formality! Hapa tukumbushane sio kwamba kila pesa inayokimbiziwa Uswisi ni dirty money, hell no! Zingine ni clean money, at least clean by means of the source where the money originates!
Huwezi kuingia na mapesa mengi US bila ku-disclose zinatoka wapi?! Ni kutokana na hilo, ndio maana kuna issue za money laundering! Mtu ana mkwanja wake wa haja, anachofanya ni kusafisha ili kuziingiza kwenye banking system! Njia moja wapo ndo hiyo, watu wana-smuggle millions of $$$ to any part of the world like Afrika, na wakishafika Afrika wanajifanya kuwekeza ili hatimae wairudishe back to America ikiwa from a known legal source (cleaned)! Hapa pia tukumbushane jambo moja! Zile zinazopelekwa Uswisi and the like sio kwamba zinaenda kusafishwa bali zinaenda kufichwa bila kujali kama ni clean or dirty money!

That's up to you and your governments!
Mkuu nimekuelewa Sana uko sahihi kabisa siongezi Wala kupunguza neno haya uliyoongea yanatakiwa tu kuwa forwarded kwa serikali na bunge na mabenki kama yalivyo yafanyiwe kazi .Una akili nyingi hiki ulichoongea kiifikie serikali ,bunge na mabenki.Thanks kwa ushauri mzito ulioenda shule
 
Mkuu,kama hutumiki serikalini,basi Tanzania inapata hasara sana.
Mungu akubariki.

Yaani tungekuwa na watu watano tu Tanzania Kama wewe wawe serikalini ngazi za juu nchi hii ingekuwa dunia ya kwanza.
 
Back
Top Bottom