South Sudan yaondoa visa kwa Watanzania wanaosafiri huko

Cicero

JF-Expert Member
Jan 20, 2016
2,924
3,072
1564636643645.png
 
Osaka ilikuwa inaingia Juba kipindi furani
Kwa sasa sijui kama bado inafanya hizo routes. Ilikuwa inavuka boarder ya mtukura inangia kampala mpaka Juba(mji mkuu wa Sudan kusin).

Sudan kusin ni nchi ya jangwa, chakula ni tatizo kubwa, biashara ya mazao ya chakula inaweza ikawa ni dili sana.
Hata hivi wana pesa za mafuta.
 
Back
Top Bottom