South korea wamfukuza kazi waziri wa ulinzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

South korea wamfukuza kazi waziri wa ulinzi

Discussion in 'International Forum' started by jamii01, Dec 22, 2011.

 1. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,832
  Likes Received: 362
  Trophy Points: 180
  Sijui Tanzania tutafika lini hatua ya uwajibikaji kama hii,Rais wa korea ya kusini amemfukuza kazi waziri wake wa mambo ya ulinzi Kim Kwan Jim na mkurugenzi wa shirika la upelezi Won Sei Hoon kwa kushiwa kutambua kifo cha Rais wa korea ya kaskazini kim jong mapema mpaka walipopata taarifa hiyo kupitia Television jumatatu siku mbili baadaya kufa kwa rais wa korea ya kaskazini.

  Pia Rais huyo amewawajibisha watendaji wengine wa shirika la upelelezi wa korea ya kusini kwa uzembe huo.

  source:MBC-SOUTH KOREA
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,552
  Likes Received: 14,957
  Trophy Points: 280
  Kim Kwan Jim
   
 3. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #3
  Dec 22, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,586
  Likes Received: 5,807
  Trophy Points: 280
  This is so unfair, I mean North Korea is not a country, it's a black hole. Hat CIA wenye mijeshi kwenye DMZ hawakujua.

  Lakini inaonyesha standards za wenzetu zilivyo juu. Brazil huko Miezi 6, mawaziri waliojiuzulu 6, watu wanaulizana "Mwezi huu zamu ya nani"

  Bongo tambarare, mibomu, ajali, Albino wanauawa, mibomu tena, mafuriko etc hamna hata anayejiuzulu kwa kuona aibu kama Ally Hassan Mwinyi.

  Mpaka Amani Karume kasema wazi "Nchi yetu hatuna utamaduni wa kuwajibishana, siwezi kumuomba waziri wangu ajiuzulu"
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Dec 22, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,438
  Likes Received: 28,275
  Trophy Points: 280
  Hiyo ya kutojua kifo cha Lil Kim kwa siku mbili tokea afariki ni bonge moja la intelligence failure and I had a feeling some heads were going to roll.
   
 5. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #5
  Dec 22, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,832
  Likes Received: 362
  Trophy Points: 180
  Korea ya kusini inatumia Technology ya juu sana kujua kila kitu kinachoendela korea ya kaskazini lakini juu ya hilo imekula kwao..
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Dec 22, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,438
  Likes Received: 28,275
  Trophy Points: 280
  Technology intelligence is not anything like human intelligence.
   
 7. Kingdom_man

  Kingdom_man JF-Expert Member

  #7
  Dec 22, 2011
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 560
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 60
  Yani hebu mtu anieleweshe vizuri inamaana North Korea wameweza kuzuia info zisitoke nje ya nchi na ku-avoid satelite za upelelezi za marekani/CIA kwa kuzima tu umeme nchi zima au?!!........Maana jamaa wana umoja wa ajabu sana na teknolojia ya juu mno!
  Na South Korea wanajiandaa kwa vita kwa sababu gani? wanaogopa nini yani?!!
  Ufumbuzi tafadhali.
   
 8. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #8
  Dec 22, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 0
  South Korea wanatumia pesa na resouces nyengine nyingi sana kuipeleleza Korea Kaskazini, ikiwa ni pamoja na kulilipa jeshi la Marekani kuipatia taarifa na ulinzi dhidi ya Korea Kaskazini

  Hii ya kutojua mpaka wanaambiwa kupitia TV, lazima wawajiuzulu.

  Pesa ya mwananchi haipotei bure
   
 9. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #9
  Dec 22, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,906
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  I take it as a positive of North Korea intelligence! Yaani wajanja wote walishindwa kuistukia kifo ya Kim kwa siku mbili! Kama ni kukalia siri wako fit!
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  Dec 22, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,438
  Likes Received: 28,275
  Trophy Points: 280
  Oh yeah, most definitely. That's an intel success on their part.
   
Loading...