Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 21,838
- 38,728
Naona sasa kila sehemu ni ubabe tuu
Kupanda gari ya mzungu sio tatizo, tatizo na pale utakapotaka kushuka kutoka kwenye ilo gari la mzungu!!Hao SK kiduku ndio size yao na bado atawatoa kamasi.
Kwa mrusi SK itapata tabu saaaana.
The teh kama navyokojolea hapo nyumbani kwako sasa hivi na hujui.Safi sana, heshima idumu, linda anga yako kwa hali na mali tena kwa wivu, sio kama sisi Miafrika yaani anga zetu unaweza ukaja na kukojolea bila ya sisi kufanya chochote wala hata kujua kama ulikuwepo.