South Korea fires warning shots at Russian Military Aircraft

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
17,098
2,000
Naona sasa kila sehemu ni ubabe tuu
Screenshot_20190723-095110.jpeg
Screenshot_20190723-095132.jpeg
Screenshot_20190723-095141.jpeg
 

ankai

JF-Expert Member
Nov 25, 2017
2,397
2,000
Mmmmh hawa nao wameamua kucharulana asee aseee kumbe no permanent enemy, no permanent friend!!
 

mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
29,261
2,000
Hao SK kiduku ndio size yao na bado atawatoa kamasi.

Kwa mrusi SK itapata tabu saaaana.
 

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
May 31, 2018
6,783
2,000
Ndege za Urusi na China jana ziliruka na kuingia kwenye anga la South Korea, Hapo ndio South alipokasirika na kuonyesha wasiwasi wake, ndege za Urusi na China ziliruka kwenye anga hio huku karibuni kutafanyika mazoezi ya kijeshi baina ya Us na South Korea, huku kiduku akionya mazoezi hayo kuwa pindi mazoezi hayo ya Us na N. Korea yakifanyika bazi na yy ataliza ving'ora vya magari na kusababisha matetemeko ya Ardhi katika ardhi za Japan na S. Korea
 

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
May 31, 2018
6,783
2,000
Russia kawambia S. Korea atulize mshono, amewambia midude yetu ikipita kwenye airspace yako utulie tuli, aache uoga
Screenshot_20190723_083207_com.rt.mobile.english.jpeg
 

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
22,464
2,000
Safi sana, heshima idumu, linda anga yako kwa hali na mali tena kwa wivu, sio kama sisi Miafrika yaani anga zetu unaweza ukaja na kukojolea bila ya sisi kufanya chochote wala hata kujua kama ulikuwepo.
 

FRANC THE GREAT

JF-Expert Member
May 27, 2016
4,551
2,000
Urusi imekumbwa na Maandamano makubwa hiki kipindi na ni makubwa sana ya kisiasa kuwahi kutokea miaka ya hivi karibuni katika taifa hilo. Huu huenda ni 'Mkakati Maalumu' wa kutaka kututoa kwenye Attention ya kile kinachoendelea ndani ya Urusi. Hahaha! Huenda wanajaribu kuu-Distract Ulimwengu usifuatilie hizo Issues zao za ndani.
 

Mayala B

JF-Expert Member
May 13, 2019
1,452
2,000
Shida ya siku hizi jf imekuwa ya kikuda sana yaan mtu analeta habari kubwa kama hii bila nini wala nini yaan anaandika kama anamtumia sms demu wake

Yaan mtu hujui ushike lipi ufate lipi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom