South Africa yafuta viza kwa nchi ya Ghana, Kenya endeleeni kuvuta subira.

Naona ume support xenophobic south africa ni sawakweli una mahaba sana na sauzi...ndo manake mnateseka kule
Xenophobic aliyoisema Jaguar umeisahau?. South Africa wanapigania kupata Ardhi yao na kumilikishwa uchumi kwa black majority through " Black Economic Empowerment, just 25 years after their independence. Ninyi wakenya uchumi wenu na ardhi yenu vinamilikiwa na wazungu nearly 60 years after your indepence, na hakuna juhudi zozote zinazofanyika kurudisha uchumi wenu mikononi mwa wakenya.

Kinachozungumzwa hapa ni kuhusu tabia yenu ya kuwasaliti waafrika na kuamua kushirikiana na wazungu, tabia hii mlianza kyionyesha kipindi cha ukombozi na hadi sasa hivi mnaendelea nayo. Nchi za EAC zilipokubaliana kupiga marufuku nguo za mitumba toka Ulaya na Marekani, Kenya iliamua kujitoa pale USA ilipozitishia nchi za EAC, tena mlijitoa bila kushauriana na nchi zingine wabachama. Ninyi ni vibaraka wa wazungu acheni Maneno Mengi.
 
Hv ardhi haimilikiwi na kenyatta tena ..ni wazungu sio...naona uko desperate sana...
Xenophobic aliyoisema Jaguar umeisahau?. South Africa wanapigania kupata Ardhi yao na kumilikishwa uchumi kwa black majority through " Black Economic Empowerment, just 25 years after their independence. Ninyi wakenya uchumi wenu na ardhi yenu vinamilikiwa na wazungu nearly 60 years after your indepence, na hakuna juhudi zozote zinazofanyika kurudisha uchumi wenu mikononi mwa wakenya.

Kinachozungumzwa hapa ni kuhusu tabia yenu ya kuwasaliti waafrika na kuamua kushirikiana na wazungu, tabia hii mlianza kyionyesha kipindi cha ukombozi na hadi sasa hivi mnaendelea nayo. Nchi za EAC zilipokubaliana kupiga marufuku nguo za mitumba toka Ulaya na Marekani, Kenya iliamua kujitoa pale USA ilipozitishia nchi za EAC, tena mlijitoa bila kushauriana na nchi zingine wabachama. Ninyi ni vibaraka wa wazungu acheni Maneno Mengi.
 
Aaaaaweee...kwhyo unapinga km watanzania hawaendi arabuni kufanya kazi za ndani...kwn akili zenu huaga ziko vipi aisee

Kwa hiyo huo ndiyo ushahidi wako unaothibitisha kuhusu waTanzania wanaoteseka uarabuni.
 
Ndio nikakuuliza wapinga km hakuna watanzania wanaoenda arabuni kufanya kazi za utumwa...km unapinga sitobishana na wewe kuhusu kitu amabacho kipo wazi...

Kenya mnateseka, sauzi vile vile...yani kila mahali mkienda nyie mnakomalia kazi za kuunga unga tu

Huna hoja, kaa kimya.
 
Back
Top Bottom