South Africa yafuta viza kwa nchi ya Ghana, Kenya endeleeni kuvuta subira.

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613

Majirani mnavuna mlichopanda, hata baada ya kuomba na kuipigia magoti South Africa ili waondoe visa kwa wakenya, ili kuonyesha heshima kwenu baada ya Kenya kuondoa visa kwa South Africa, hiyo haijatosha kuwasahaulisha kutokana na maovu mliyotenda enzi za ukombozi.

Mwaka huu South Africa imetangaza nchi saba na kuzifutia visa, mbili ni nchi za Africa, Ghana na kisiwa cha Sao Tome, Kenya bado inaendelea kuvuta subira, mkichoka vuteni Shisha.
 
Nani awafutie Visa matapeli....hahahaha
Sisi tunapaa nakushuka O'Tambo Int Airport kama naenda naenda zangu Mwanza. Ni nauli yako tu hahahahaha

Watasubiri sana
 
Nani awafutie Visa wezi? Hivi mleta mada wewe unaweza mfungulia Mlango Mwizi na Tapeli?
Kumbuka mwizi akikosa cha kuiba nyumbani Mwako ataiba hata Kijiko tu.
Kwani unadhani wakifuta Visa ndio Wakenya wataanza kwenda Africa Kusini?
Kuna zaidi ya wakenya 40,000 wanaoishi south Africa .Wakenya wanaoenda South Africa kwa shughuli za kibiashara na Masomo pia ni wengi Sana .
Wakenya kwa kawaida yao ni watu wakujituma.Nyinyi mko SADC na mnaingia SA Visa free na Bado hamjachangamkia fursa mnazo pata
 
Majirani mnavuna mlichopanda, hata baada ya kuomba na kuipigia magoti South Africa ili waondoe visa kwa wakenya, ili kuonyesha heshima kwenu baada ya Kenya kuondoa visa kwa South Africa, hiyo haijatosha kuwasahaulisha kutokana na maovu mliyotenda enzi za ukombozi.

Mwaka huu South Africa imetangaza nchi saba na kuzifutia visa, mbili ni nchi za Africa, Ghana na kisiwa cha Sao Tome, Kenya bado inaendelea kuvuta subira, mkichoka vuteni Shisha.
Wakati waafrica wanasusia makaburu. Kenya waliendelea kuwakumbatia. Nchi za Africa waliwafungia kufanya biashara na makaburu Kenya waliendelea kufanya nao. Leo wanajiita eti wanaa
 
Kwani unadhani wakifuta Visa ndio Wakenya wataanza kwenda Africa Kusini?
Kuna zaidi ya wakenya 40,000 wanaoishi south Africa .Wakenya wanaoenda South Africa kwa shughuli za kibiashara na Masomo pia ni wengi Sana .
Wakenya kwa kawaida yao ni watu wakujituma.Nyinyi mko SADC na mnaingia SA Visa free na Bado hamjachangamkia fursa mnazo pata

Unajua ni Watz wangapi wako South Africa?
 
Kwani tusipoenda Satafrika tutakufa?
Actually this guy is peddling falsehoods, Kenyans do not need visa for short term stay(Just like Tanzanians 90 days and less), Kenyan students get 10 years multiple entry visa on arrival (I don't know if Tanzania sends students to south africa), business people and expatriates get 5 year multiple entry visas. For Kenyans this is not a big deal, if europe, israel or america ban immigration from Kenya then i would be concerned. The south african companies have tried over years but failed to compete against Kenyan companies, also Kenya is the largest African FDI source for east african countries, with Kenyan companies and businesses moving across the border.
 
Aha haaa
Sisi tunachukua residence permit kirahisi tu.
Yaani kule ni sawa na kabati letu tu.
 
Actually this guy is peddling falsehoods, Kenyans do not need visa for short term stay(Just like Tanzanians 90 days and less), Kenyan students get 10 years multiple entry visa on arrival (I don't know if Tanzania sends students to south africa), business people and expatriates get 5 year multiple entry visas. For Kenyans this is not a big deal, if europe, israel or america ban immigration from Kenya then i would be concerned. The south african companies have tried over years but failed to compete against Kenyan companies, also Kenya is the largest African FDI source for east african countries, with Kenyan companies and businesses moving across the border.
Actually my local church is sponsoring 10 youth members to South Africa this August for a youth conference .
I just confirmed from one of them that all they are required have is a passport
 
Actually this guy is peddling falsehoods, Kenyans do not need visa for short term stay(Just like Tanzanians 90 days and less), Kenyan students get 10 years multiple entry visa on arrival (I don't know if Tanzania sends students to south africa), business people and expatriates get 5 year multiple entry visas. For Kenyans this is not a big deal, if europe, israel or america ban immigration from Kenya then i would be concerned. The south african companies have tried over years but failed to compete against Kenyan companies, also Kenya is the largest African FDI source for east african countries, with Kenyan companies and businesses moving across the border.
Dhambi ya usaliti inaendelea kuwatafuna.
 
Wako wengi tunajua,ungeuliza wanafanya nini huko?,compare wakenya walioko SA,majority wanafanya biashara waalimu kwenye vyuo vyao na pia wengi ni wababa wenye nyumba kule,tofauti na watanzania ambao tunajua na mwenyewe unajua wanachokifanya huko.
aisee.kweli ukiwa mkenya tayari ni kichaa.
 
Dhambi ya usaliti inaendelea kuwatafuna.
If betrayal means my economy continues to be the largest in the region and i find diverse markets for my products, then I am sorry i will push the knife deeper in your back to secure my own interests.
 
Back
Top Bottom