South Africa yafungua mpaka wake na Zimbabwe

steve_shemej

JF-Expert Member
Nov 26, 2015
1,092
1,433
Kwa wale waliotamani kuingia au kutoka SA Sasa muda ndiyo huu maana mpaka wa SA na Zimbabwe umefunguliwa kwa upande wa SA lakini changamoto Bado IPO Zimbabwe mpaka Jana tar 3 walikuwa Bado hawajafungua
images.jpeg
 
Back
Top Bottom