South Africa to let places of worship reopen from June

GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,866
11,100
Rais wa Afrika ya kusini Cyril Ramaphosa akihutubia Taifa amesisitiza ingawa hali ni mbaya ya corona lakini kuanzia Juni 01 mwaka 2020 atafungua makanisa na Misikiti ili watu wapate faraja wakati huu wa Janga la corona

Ukiweka siasa za unazi na unafiki pembeni kwenye hili la kutofunga nchi au mji Rais Magufuli ameweza

Wenye chuki na wanatafuta sifa za kisiasa ni kweli roho inauma sana, Lakini kwa hili Magufuli sasa watu wanamuiga

Afrika kusini imefungwa zaidi ya mwezi sasa lakini Rais amesalimu amri kwenye imani kwa kumuiga Magufuli

----
OHANNESBURG (Reuters) - South Africa’s churches and other places of worship can reopen their doors from June, but will be limited to 50 people, President Cyril Ramaphosa said on Tuesday as coronavirus lockdown rules are further eased.

Africa’s most industrialised economy has been largely shut since late March, when the government enforced restrictions to stem the spread of the coronavirus, which has so far infected 23,615 people in South Africa and killed 481.

Some churches responded by moving to radio, television and online so that people could worship from home.

“This pandemic has ... taken a toll on us emotionally and spiritually. It has shaken our sense of well-being and security. Many of us are anxious and fearful of both the present and the future,” Ramaphosa said in a televised address.

“We have a responsibility to...take care of the spiritual, psychological and emotional well-being of all South Africans.”

South Africa will move to “level three” of its five-level lockdown system from June, allowing the vast majority of the economy to return to full capacity.

Ramaphosa, who has been under pressure from rival political parties and industries to ease the restrictions, said social distancing will have to be observed and all worshippers and participants will have to wear face masks.

He added that any religious rituals that carry even the slightest possibility of exposing worshippers to risk should be avoided, and where they form an essential part of religious practice, sanitisation is paramount.

Source: South Africa to let places of worship reopen from June
 
Weka source

Alafu mnavyosema kuwa dunia ina mwelewa jiwe hvi ni mahaba gan mnapewa huko Lumumba

Ww ulidhani watu watafunga nchi zao milele
 
Donald Trump nae kamuiga magu kufungua shule

Vijana wa Lumumba wenzenu wa ufipa wanatumia ubongo kufikiri nyie mnatumia makamasi,

Hamjishtukii vyeo wanapewa wageni toka chadema??? Ataa Mimi ningekuwa magu kwa akili Kama hizi ata kama unanisifia sikuteui wengi mnapwaya, mnachojua Ni kusifu mikakati,mbinu za kiuchumi kijamii nk. Hamna. Pia sio wabunifu mwanzoni wasifiaji waliula Sasa KILA MWANA LUMUMBA Anatumia mbinu ile ile
 
Sisi upinzani kama upinzani tunasema hatutaki tena lockdown sababu mizungu tunaowaiga kila kitu kama bendera fuata upepo wameachana na mambo ya lockdown.
 
Weka source

Alafu mnavyosema kuwa dunia ina mwelewa jiwe hvi ni mahaba gan mnapewa huko Lumumba

Ww ulidhani watu watafunga nchi zao milele
Sasa inakuwaje wafungue nyumba za Ibada ,mfano s,afrika wakati hali ya maambukizi ni mbaya ?,hapo ndipo dhana ya kumuiga Magufuli inapokuja ,hutaki acha ,kwanini wasisubiri mpaka mwezi wa kumi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Donald Trump nae kamuiga magu kufungua shule

Vijana wa Lumumba wenzenu wa ufipa wanatumia ubongo kufikiri nyie mnatumia makamasi,

Hamjishtukii vyeo wanapewa wageni toka chadema??? Ataa Mimi ningekuwa magu kwa akili Kama hizi ata kama unanisifia sikuteui wengi mnapwaya, mnachojua Ni kusifu mikakati,mbinu za kiuchumi kijamii nk. Hamna. Pia sio wabunifu mwanzoni wasifiaji waliula Sasa KILA MWANA LUMUMBA Anatumia mbinu ile ile
Mkuu marais wote duniani wanamuiga rais wetu, tmkumbe tuna rais wa dunia.
 
Afrika ya kusini waamua kumuiga Rais Magufuli kufungua makanisa na Misikiti watu waabudu
JPM hakufunga kabisa
Afrika Kusini walifunga wakafungua. Sasa hapo mbona ni vitu tofauti, wameiga nini, kutokufunga kabisa?
 
Weka source

Alafu mnavyosema kuwa dunia ina mwelewa jiwe hvi ni mahaba gan mnapewa huko Lumumba

Ww ulidhani watu watafunga nchi zao milele
Maana ya kufunga ilikuwa nini?

Unafunga una wagonjwa 10, wamepanda mapak maelfu unafungulia, huu si uchizi?

Kwa hili Magufuli yuko sahihi!

Juzi mlikuwa mnamtukana Nkurunzinza Kwamba hana akili anamwiga Magufuli, kwanini afanye uchaguzi kipindi hiki cha janga watu wanarundikana kwenye kampeni, watu watakufa kama kuku!

Haya Uchaguzi umepita rais mpya kapatikana hakuna hata kuku wal bata aliekufa na UN wamemsaport kwa kusema marafuku nchi za Afrika kusingizia korona kuahirisha chaguzi.

Kwenye hili la corona wapinzani wa Magu wameaibika vibaya sana.
 
Ko wameiga
 
Donald Trump nae kamuiga magu kufungua shule

Vijana wa Lumumba wenzenu wa ufipa wanatumia ubongo kufikiri nyie mnatumia makamasi,

Hamjishtukii vyeo wanapewa wageni toka chadema??? Ataa Mimi ningekuwa magu kwa akili Kama hizi ata kama unanisifia sikuteui wengi mnapwaya, mnachojua Ni kusifu mikakati,mbinu za kiuchumi kijamii nk. Hamna. Pia sio wabunifu mwanzoni wasifiaji waliula Sasa KILA MWANA LUMUMBA Anatumia mbinu ile ile
Kijana tatizo una hasira na chuki sana kwa Magu!

Hivi unajisikiaje matusi mliyokuwa mnamtukana Magu kwa hatua zake alizokuwa anachukua kuihendo corona, alafu mataifa karibu yoyote duniani wanapita mulemule alimopita Magu baada ya kuona hatua zao si suluhisho?

Mbowe na genge lake wamejaribu kutafuta kiki kupitia corona wakaishia kuaibika na kuvurugana wao wenyewe!

Unaonaje hii sapot anayopewa Magu kwenye social media juu ya corona?

Nyie subirini kichapo chenu hapo oktoba murudi kunywa mbege basi.
 
Weka source

Alafu mnavyosema kuwa dunia ina mwelewa jiwe hvi ni mahaba gan mnapewa huko Lumumba

Ww ulidhani watu watafunga nchi zao milele

Kwani corona imeisha au ndo inaongezeka kwa hao waliofinga nchi zao?
 
Back
Top Bottom