Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,401
- 20,661
Mwaka 2013 wakati South Sudan kumewaka moto na watu wanachinjwa kama bata, Nchi kama Kenya, Uganda na Ethiopia zilituma ndege kwenda kuevacuate raia wao free of charge. Baadhi ya Nchi kama Eritrea, Gambia and the likes (Tanzania hata haikuwa na wazo..) ziligoma kufanya hivyo zikidai "hao waliokwenda huko walijipeleka wenyewe so wajisort out". Kuna Nchi flaniflani kupoteza hata maisha ya raia mmoja kindezi ni msiba mkubwaWenzetu wenye kuona mbali wanatuma ndege zao kuwa evacuate watu wao free of charge, sisi Tanzania ambao raia wetu ndio wako kwenye the borne of contention, ndio kwanza ndege yetu inarudi tupu!, kisa "hatukuwapeleka"!.
P