Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,011
- 144,371
Hivi huu msiba wa mzee Mandela unastahili kuitwa msiba?Watu wanaonekana wenye furaha tena wakiimba na kucheza!Hivi mtu ukiwa na uchungu wa kufiwa unaweza kweli kugeuza msiba kuwa ni tukio la kusheherekea maisha ya marehemu?!Au watu wanangoja mpaka waone anazikwa ndio wajue mwenzetu ametutoka?
Mimi naona huu sasa ndio mwanzo wa misiba kuwa sherehe kubwa kwa siku zijazo.Tunakoelekea misiba itakuwa ni kama sherehe hata kwa watu wa kawaida tu.
Heshima za kijeshi na mambo mengine ni ziada tu ila kipimo kikubwa ni mioyo ya wafiwa.
Yanayoendelea South Africa ni "mapinduzi katika ulimwengu wa misiba"