South Africa: Julius Malema ataka Kiswahili kiwe lugha moja Afrika nzima

Jamaa ana siasa kali za kizalendo, yaani za kibaguzi

Ni kama wale wazungu wapinga uhamiaji wasiopenda nchi zao kuingiliwa na Weusi ama Waarabu

Na ishu ya kuunganisha Afrika sijui ni ndoto ya saa ngapi

Nchi nyingi za Afrika zimeshindwa tu kujiunganisha kwa ndani zenyewe, unawaza bara zima kuungana, DRC, Sudan, Nigeria, Ethiopia, Cameroon n.k watu wanabaguana na kuuana kisa tu kabila tofauti ama dini, na viongozi wao wameshindwa kuwaunganisha, malaika gani ataunganisha bara zima?

Halafu single currency kwa biashara ipi tunayofanya pamoja?

Nchi za Kiafrica zinafanya biashara na China na Marekani & Ulaya kwa 90%, sisi hatuna vitu vya kuuziana labda sijui unga na maziwa

Sababu hatuzalishi bidhaa, tunaingiza kutoka ulaya na china kisha tunawauzia bidhaa ghafi, sasa hapo utahitaji single currency ya kazi gani? Au mihemko ya kuiga EU?

Wanasiasa wengine bana
Reform is possible, very possible

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiswahili kilkuwa kinaitwa lugha ya ubabaishaji hata wana Chadema walikuwa wakikihusisha na Kikwete hahahaa..no more!..kiswahili kinasonga mbele.

Wewe una matatizo sasa hapa Chadema imetoka wapi aisee Afrika kuna watu wajinga sijawai kuona
 
Ila jamaa kapotezwa siku hizi. Sio yule Malema wa kipindi kile.

Back to topic: yeye anajua hicho kiswahili?
Hata km pengine hakijui kuna vigezo ameviona pamoja na umuhimu wa kukipromoti hicho kiswahili .Na pengine tungeanzia hapo kwenye umuhimu wa hoja yake km ina mashiko au la.
 
[QUOTTgE="boaz mwalwayo, post: 28163837, member: 271011"]Wewe una matatizo sasa hapa Chadema imetoka wapi aisee Afrika kuna watu wajinga sijawai kuona[/QUOTE]
Siyo WAJINGA mkuu ni watu WAPUMBAVU .MAZOMBI.
 
Kitendo cha kutukuza vitu vya wenzetu na kibeza vya kwetu ni ujinga mkubwa sana. Binafsi nikiulizwa lugha gani iwe ya taifa la Tanzania nitapendekeza lugha mama (Kihaya). Then lugha ya Afrika nitapendekeza Kiswahili (hii ndo lugha ya pili kwangu).. lugha zingine nitajifunza pale kutakapokuwa na ulazima wa kujifunza. Ila kwa sasa napenda kujifunza Kichina.
 
Sawa ila sina uhakika kama yeye mwenyewe kama anakijua kiswahili anyway anakipa promo kiswahili kuliko kizulu
 
Jamaa ana siasa kali za kizalendo, yaani za kibaguzi, racist, black nationalist, tribalist

Ni kama wale wazungu wapinga uhamiaji wasiopenda nchi zao kuingiliwa na Weusi ama Waarabu

Huyu anazungumzia Kiswahili kwa kuwa tu ana chuki na wazungu na sio kwamba linaamini katika intergration ya ukweli baina ya binadamu hapa duniani

Muda huu tu BBC wameripoti Waafrika weusi wanauawa huko Afrika Kusini kisa tu sio wazawa, wazungu pia wanauawa kisa siasa za kichochezi na kibaguzi za huyo jamaa

Na ishu ya kuunganisha Afrika sijui ni ndoto ya saa ngapi

Nchi nyingi za Afrika zimeshindwa tu kujiunganisha kwa ndani zenyewe, unawaza bara zima kuungana, DRC, Sudan, Nigeria, Ethiopia, Cameroon n.k watu wanabaguana na kuuana kisa tu kabila tofauti ama dini, na viongozi wao wameshindwa kuwaunganisha, malaika gani ataunganisha bara zima?

Halafu single currency kwa biashara ipi tunayofanya pamoja?

Nchi za Kiafrica zinafanya biashara na China na Marekani & Ulaya kwa 90%, sisi hatuna vitu vya kuuziana labda sijui unga na maziwa

Sababu hatuzalishi bidhaa, tunaingiza kutoka ulaya na china kisha tunawauzia bidhaa ghafi, sasa hapo utahitaji single currency ya kazi gani? Au mihemko ya kuiga EU?

Wanasiasa wengine bana

Kuhusu xenophobia, kuna speech moja aliitoa bungeni, jaribu kuitafuta u-tube. Aliwashutumu kina Zuma (by then) KUWA hawajafanya ya kutosha. Pia aliwasihi wenzake wananchi wa Afrika Kusini kutokuwa na UBAGUZI waAfrika wote ni wamoja tunahitajiana, hamna nchi yoyote inaweza kusimama peke yake, hata Marekani inahitaji washirika.

Itafute uone walivyoongea kwa uchungu.
 
Jamaa ana siasa kali za kizalendo, yaani za kibaguzi, racist, black nationalist, tribalist

Ni kama wale wazungu wapinga uhamiaji wasiopenda nchi zao kuingiliwa na Weusi ama Waarabu

Huyu anazungumzia Kiswahili kwa kuwa tu ana chuki na wazungu na sio kwamba linaamini katika intergration ya ukweli baina ya binadamu hapa duniani

Muda huu tu BBC wameripoti Waafrika weusi wanauawa huko Afrika Kusini kisa tu sio wazawa, wazungu pia wanauawa kisa siasa za kichochezi na kibaguzi za huyo jamaa

Na ishu ya kuunganisha Afrika sijui ni ndoto ya saa ngapi

Nchi nyingi za Afrika zimeshindwa tu kujiunganisha kwa ndani zenyewe, unawaza bara zima kuungana, DRC, Sudan, Nigeria, Ethiopia, Cameroon n.k watu wanabaguana na kuuana kisa tu kabila tofauti ama dini, na viongozi wao wameshindwa kuwaunganisha, malaika gani ataunganisha bara zima?

Halafu single currency kwa biashara ipi tunayofanya pamoja?

Nchi za Kiafrica zinafanya biashara na China na Marekani & Ulaya kwa 90%, sisi hatuna vitu vya kuuziana labda sijui unga na maziwa

Sababu hatuzalishi bidhaa, tunaingiza kutoka ulaya na china kisha tunawauzia bidhaa ghafi, sasa hapo utahitaji single currency ya kazi gani? Au mihemko ya kuiga EU?

Wanasiasa wengine bana

Tuache yoooote. Hiyo signature yako nimeitafakari sanaaa na nikakumbuka nina message ya kibomu sijafungua bado, ndipo nimepata ujasiri wa kuisoma pia nikajijua which category of pet nimewekwa.

Ahsante umeokoa pesa yangu.
 
Hilo nalo neno. Shida kubwa iliyoko ni viongozi wetu wa kiafrika kuwa wanafiki ambapo hawana UZALENDO na moyo wa kushughulikia Mambo ya maana kwa faida ya wananchi wao Bali wakati wote wanawaza kuwaumiza wazalendo wananchi wao wanaowakosoa au maadui wa kisiasa waliopo nchini mwao. Wanafiki wakubwa na hawawezi kuweka msingi mkuu I'll nchi za Africa ziendelee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa ana siasa kali za kizalendo, yaani za kibaguzi, racist, black nationalist, tribalist

Ni kama wale wazungu wapinga uhamiaji wasiopenda nchi zao kuingiliwa na Weusi ama Waarabu

Huyu anazungumzia Kiswahili kwa kuwa tu ana chuki na wazungu na sio kwamba linaamini katika intergration ya ukweli baina ya binadamu hapa duniani

Muda huu tu BBC wameripoti Waafrika weusi wanauawa huko Afrika Kusini kisa tu sio wazawa, wazungu pia wanauawa kisa siasa za kichochezi na kibaguzi za huyo jamaa

Na ishu ya kuunganisha Afrika sijui ni ndoto ya saa ngapi

Nchi nyingi za Afrika zimeshindwa tu kujiunganisha kwa ndani zenyewe, unawaza bara zima kuungana, DRC, Sudan, Nigeria, Ethiopia, Cameroon n.k watu wanabaguana na kuuana kisa tu kabila tofauti ama dini, na viongozi wao wameshindwa kuwaunganisha, malaika gani ataunganisha bara zima?

Halafu single currency kwa biashara ipi tunayofanya pamoja?

Nchi za Kiafrica zinafanya biashara na China na Marekani & Ulaya kwa 90%, sisi hatuna vitu vya kuuziana labda sijui unga na maziwa

Sababu hatuzalishi bidhaa, tunaingiza kutoka ulaya na china kisha tunawauzia bidhaa ghafi, sasa hapo utahitaji single currency ya kazi gani? Au mihemko ya kuiga EU?

Wanasiasa wengine bana
Umeongea vyema na kwa busara,ila na uzuri unachangia
 
Keep it as your opinion
 
Back
Top Bottom