South Africa: Julius Malema ataka Kiswahili kiwe lugha moja Afrika nzima

Hbr njema sana,Waingereza na wafaransa walikuza lugha yao ,acha kiswahili kivuke mipaka kitatupatia dili nyingi na vilevile kitaeneza tamaduni zenu,hata kazi za sanaa zitafika mbali
 
Wakoloni walioitawala Afrika wakipata hii habari roho zao zinawauma kiasi zipasuke, tukiliweza hili hata mengine yakitushinda hakika tutakuwa tumevuruga sana mipango yao ya kuendelea kuitawala Afrika kupitia lugha zao

Mungu Ibariki Afrika!
 
Back
Top Bottom