zuma hana mke..du jamaa wamepiga kura za chuki...mara nyingine kura zinaweza kuleta kiongozi populist kama wetu [kilambi]..lakini asiwe mtendaji mzuri....
Naomba nikusahihishe: Soma hapa chini: By the way aliyeshindwa umakamu wa Raisi wa ANC alikuwa mkewe, kwa sasa wameachana.
"Mr Zuma has recognised at least 18 children from four official wives and several girlfriends. Two children have been born since his acquittal in a notorious rape trial last year".
http://www.timesonline.co.uk/tol/news/world/africa/article3070220.ece
http://www.iol.za.org/index.php?set_id=1&click_id=13&art_id=ct1999070610002266S340917