South Africa Gay Pastor Marries Another Pastor;

Lakini ni kheri nimeuliza na nimejibiwa kiasi lakini vipi wewe uliye na elimu kubwa, unaweza kunionesha sehemu katika biblia ambayo imeonesha uzinzi wa jinsia moja ni tofauti na uzinzi wa jinsia mbili tofauti.

Ningeomba citations kama utaweza
Ningependa kukujbu kwa historia ambayo kweny bible ipo, ni sodoma na Gomora.

Wew unadhani watu kufanya uzinifu wa kawaida yani mke na mme, kabla ya sodoma na gomora ulkua haufanyiki??....

Kilichofanya Mungu aangamize hyo miji miwili ya sodoma na Gomora ni ufanyaji wao mapenz tofaut na maumbile, ushoga yaaani.

Na katika Iman zote za Dini ni hyo miji miwil, ambayo iliruhusu ushoga na mungu yeye mwenyew akaiangamiza kuonyesha ni jins gani hicho kitu ni kibayaaa kwa mwanadamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma previous comments zangu....
 
Back
Top Bottom