South Africa carnage should stop

Naunga mkono hoja, ila kwangu cha maana zaidi sio ATC Kusitisha safari za South Africa bali sisi Watanzania kupitia serikali yetu tunaeasaidiaje Watanzania wenzetu wa huko?. Wenzetu Nigeria, badala ya Kusitisha safari ndio kwanza wanatuma midege kuwasomba raia wao kuwarejesha nyumbani bure!, sisi ndege yetu inarudi tupu huku Watanzania wenzetu wanateseka na kuangamia.
P
 
Wenzetu Nigeria, badala ya Kusitisha safari ndio kwanza wanatuma midege kuwasomba raia wao kuwarejesha nyumbani bure!, sisi ndege yetu inarudi tupu huku Watanzania wenzetu wanateseka na kuangamia.
 
Mkulima atakata rufaa mahakama ya juu zaidi
Ehehehehe hizi vurugu zimetumika kama sababu tu

Pia tuwe makini na safari za UK tunazo anza karibuni,mkulima atasajili hukumu kule
Tusisahau kuna mahakama ya Africa pia
 
Waafrika tuna ufinyu wa kiakili. Kwanini hatujiulizi maswali magumu? WHY SOUTH AFRIKA? WHY NOT TANZANIA?

Nionavyo mimi ni kuwa viongozi wa nchi nyingi za Afrika wamefeli kuwaletea maendeleo wananchi. Naamini Serikali ya Afrika Kusini ilipaswa kupunguza idadi ya foreigners kwa kuwaondoa na kuzuia wimbi la wakimbizi wa kiuchumi.

Sisi siyo raia, tunapaswa kuheshimu matakwa ya nchi nyingine. ANC failure to regulate wanaoingia SA ndiyo chanzo cha mambo haya. Raia wamechoka mpaka wanaamua kujichukulia sheria mkononi.

Waende US wakamsome Trump anavyopambana kuepuka haya mambo huko kwake.

Kabla ya kuwalaumu wananchi wanaotetea ajira zao na maisha yao huko SA, tujilaumu sisi ambao tunaitamani Afrika Kusini iliyoendelea, tukijipa haki ya kupata ajira huko.

Tujitafakari, tuwawajibishe viongozi wetu. Tuwaulize kwanini Afrika Kusini pekee? Kwanini hatuwaoni waafrika kusini wakija kwetu bali ni sisi tu tunakimbilia huko?
 
Naunga mkono hoja, ila kwangu cha maana zaidi sio ATC Kusitisha safari za South Africa bali sisi Watanzania kupitia serikali yetu tunaeasaidiaje Watanzania wenzetu wa huko?. Wenzetu Nigeria, badala ya Kusitisha safari ndio kwanza wanatuma midege kuwasomba raia wao kuwarejesha nyumbani bure!, sisi ndege yetu inarudi tupu huku Watanzania wenzetu wanateseka na kuangamia.
P
Paskal ndugu yangu tutalaumu watu bure. Hivi mtu alieenda kule kwa kuzamia utampitishaje OTambo akiwa hana makaratasi? Njia waliotumia kwenda kule haitoi mwanya wa kuwapandisha ndege Kaka.
 
Kama tunawapokea wakimbizi mamia kwa maelfu, bila makaratasi na kuwahifadhi, why not our fellow Tanzanians, karatasi zao ziwe
Lugha fasaha ya Kiswahili cha kibongo.

Back
Top Bottom