Joselela
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 5,676
- 6,961
Ndo vile vina rangi kama nyekundu au machungwa hivi vidogovidogo sometimes unavikuta kwenye lundo la dagaa.....?Ni jamii ya shrimp 🍤
haswaaaaNdo vile vina rangi kama nyekundu au machungwa hivi vidogovidogo sometimes unavikuta kwenye lundo la dagaa.....?
🙏🙏🙏🙏🙏haswaaaa
AiseehYote mautamu sotojo hilo inakuaje.
Kumbe si wengi wanakula uduvi.
Ungenyamaza kimya, lugha ni pana, lugha hukua n.k hiyo ndio tabia ya lugha, siku nyingine jibu kwa hekima usijifanye unajua kutoa majibu, hunifahamu sikufahamu, unao wajibu ovyo endelea kuwa jibu ovyo ila sio mimi. Iwe mwanzo na mwisho Alaa.Ni mavi ya kwako?
Maini yanabadirisha sumu kuwa vitu salama. Hivyo usiogope!Hivi maini na figo si vitu vya hatari sana kwa mwanadamu kula? Maini yanaondoa sumu na figo zinachuja uchafu na kutoa mkojo. Haina madhara kula hivyo vitu?
Maini ni organ ya hatari sana usile. Kitu kinachuja sumu au figo inayochuja mkojo unawezaje kula?
Hii soup ukiwa unauguza mgonjwa atapata ahueni tu, ni full virutubisho.