Soup ya mchanganyiko wa nyama ya ng’ombe, figo na maini

Huwa nautumia kulisha Kuku
Tanga uduvi au dagaa kamba ni wakubwa wakubwa ila uduvi Wa ziwa Victoria na mtera ni wadogo wadogo sana.
Harufu ya shombo ya uduvi iliwahi niletea kizaazaa nikiwa kwa bibi Tanga uncle wangu alinisuspect mjazito wakati hata sealed haijafunguliwa aisee, tulizipiga balaa.
Sasa hivi hawanitapishi ila siwali nawalisha Kuku
Kumbe si wengi wanakula uduvi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom