Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sound Proof: Natafuta duka linalouza sound proof Tanzania Urgently.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Radio Producer, Sep 2, 2012.

 1. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2012
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 865
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Wadau,

  Ninataka kununua sound proof kwa ajili ya studio nahitaji maelekezo kama kuna mdau humu ndani anauza kitu kama hiyo nitafurahi sana. Wengine wanaita acoustic material, aina yoyote mathalani tukizungumza tukaelewana.

  Asanteni. JUst PM.
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 7,063
  Likes Received: 313
  Trophy Points: 180
  Hiyo kitu haiuzwi bali inatengenezwa kwa kutumia other materials kama maboya, sponge, karatasi, thick plastic material, mbao,n.k.
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,082
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
 4. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,738
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  nenda DIY Chan'gombe ... kuna sound proof boards za aina nyingi kwa ajili ya ku-fix kwenye ceilings na walls... pia nakushauri utafute na acoustic paints ... kama floor finish hujafanya basi nakushauri utafute timber/wood flooring kama vile wood parquet .... hizi zina resilient character nzuri na hutumika ku-absorb sound
   
 5. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #5
  Sep 2, 2012
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 865
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Mkuu zipo za kutengenezwa na zipo za kununua. Mdizi asante sana kwa direction nzuri. Nashukuru sana.
   
 6. vena

  vena JF-Expert Member

  #6
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wengine hibies zetu ni kununua
   
Loading...