Soul mate (mpenzi wa roho za kufanana)

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
4,393
7,039
Mambo kama soul mate tuwaachie tu wazungu, sisi huku ukipata mwanamke anayejua bajeti yaani akiweka mkaa asubuhi akipika chai anauzima, anapikia tena chakula cha mchana anauzima na anapikia chakula cha usiku!
Akifua nguo anatunza povu vizuri ili afulie tena na kesho! Trust me ukimpata huyo utafurahia sana maisha haya
 
Screenshot_20210206-223333-1.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom