SOUJA GIRL...huyu hapa (Domokaya la Kinugu)

Duh JF kiboko unajua sikutegemea response....aaaaight

910754.jpg
 
Nyani Ngabu, na ujanja wote kumbe ndo vifaa vyenu hivyo LOL!! How do you reason with a woman like that haaaaaahaaa.

Brazameni, I like part 2 remixed.
 
Hiyo treni ilikuwa inatoka Dec kwenda Bankhead nini?
Sampuli hizi ukienda Prime Time, Poole Palace, The Cave, Crunk ndio unazikuta lol...
 
Hiyo treni ilikuwa inatoka Dec kwenda Bankhead nini?
Sampuli hizi ukienda Prime Time, Poole Palace, The Cave, Crunk ndio unazikuta lol...

Hamna bana....demu ana disorder flani hivi nimeisahau kidogo...
Ndugu zake walipiga simu kwenye kipindi cha Ryan Cameron wakasema ameacha kumeza dawa zake...
 
Hamna bana....demu ana disorder flani hivi nimeisahau kidogo...
Ndugu zake walipiga simu kwenye kipindi cha Ryan Cameron wakasema ameacha kumeza dawa zake...

Ha ha, speaking of Ryan Cameron...nilikuwa naipenda sana show yake...na jinsi alivyokua anamtania Elle....
 
Brazamen ,any Way May Be You Can Be Of Good Use,kuna Mshikaji Ameowa Juzi Sasa Digi Yake Yuko Single Na Kwani Mother Alikufa, Sasa Wife Wa Jamaa Ana Mother Naye Yuko Single,yani Mshua Alitangulia Kunako Haki Sasa Mshua Wa Jamaa Anataka Aowe Yule Mother Je Ina Wezekana,brozameni Nipe Jibu Hizi Ni Fani Yako Mkuu?
 
2upddmt.jpg
 
Huyu mwanamama alishapoteza uelekeo Long time sasa alikuwa anatafuta sehemu ya Counselling sasa nafikiri kashaipata
 
Hoodrat aka SOULJA GIRL goes crazy...

[media]http://www.youtube.com/watch?v=NZtGz_7WI0[/media]

Hili ndo tatizo la kuishi Sweden....you are almost a year behind......hii imetokea longi kichizi ila wewe unaiona leo....bwahahahaaaaa...no wonder why you are 40yrs old and still playing the green card lottery.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom