sosoliso, Baba V, amu alafu na wewe mimisa.... Erickb52 ndio umeamua? Mrembo by nature siwezi....

Zero One Two

JF-Expert Member
Sep 16, 2007
9,347
3,023
sosoliso , Baba V , mtuache na familia yetu mbona mnatuzonga zonga sanaaaa....
Popote nitapo kutana na nyie cha moto mtakiona...
amu amu amu nakutazama tu... wewe unafurahi mie kuachwa>? mie hadi nachanganyikiwa, wewe unanufaika na nini.... au unamkuadia eeeh!
Paloma Paloma utuache na familia yetuuu na vitisho vyako kwangu.... nita..........
Erickb52 broda broda na wewe unanitibulia kwa Mrembo by Nature kisa sipo?
mimisa unajua nakupenda ndio maana unazidi kunivuruga eeeh? usititende ivyo, naomba uniue taratibu taratibu basi baby dah!
Mrembo by Nature mie mwanaume wa kweli usihofu hayo mambo ya kudaiana ni ya kishamba baby... nenda kwa amani ya manoah maisha ya mwaka huu yamenikataaaaa
Mamndenyi nawe unanisariti? The secretary wewe ndio mama wangu wa ukweeee.. leo narudi home
Bishanga my daddy.... Ile Range Lover Evoque ipo? au umeiuza
 
Last edited by a moderator:
Sasa kosa langu ni lipi manoah ?
Mwanaume wa kweli unajijua wewe ila Mrembo by Nature anakuona ni mwanaume fake na huna lolote ndio maana anakuja kwangu mwanaume wa kweli.
 
Last edited by a moderator:
sosoliso , Baba V , mtuache na familia yetu mbona mnatuzonga zonga sanaaaa....
Popote nitapo kutana na nyie cha moto mtakiona...
amu amu amu nakutazama tu... wewe unafurahi mie kuachwa>? mie hadi nachanganyikiwa, wewe unanufaika na nini.... au unamkuadia eeeh!
Paloma Paloma utuache na familia yetuuu na vitisho vyako kwangu.... nita..........
Erickb52 broda broda na wewe unanitibulia kwa Mrembo by Nature kisa sipo?
mimisa unajua nakupenda ndio maana unazidi kunivuruga eeeh? usititende ivyo, naomba uniue taratibu taratibu basi baby dah!
Mrembo by Nature mie mwanaume wa kweli usihofu hayo mambo ya kudaiana ni ya kishamba baby... nenda kwa amani ya manoah maisha ya mwaka huu yamenikataaaaa
Mamndenyi nawe unanisariti? The secretary wewe ndio mama wangu wa ukweeee.. leo narudi home
Bishanga my daddy.... Ile Range Lover Evoque ipo? au umeiuza

hiyo Range lover ya baba yako amenihonga mimi Ranger of love.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom