naomba kazi
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 253
- 213
Ilo shirika ni shirika kubwa sana hapa Africa na duniani kote ila lina tabia chafu na mbaya tabia yao ya kupachikana kwenye nafasi za kazi inakera sana......
Watu tunafunga safari kutoka mikoani mpaka makao makuu pale mikocheni afu mnaleta usanii au kwakuwa mimi mdada ndio mnanifanyia ivyo.........
Nawapa onyo vielelezo vyote ninavyo, nitaviwasilisha mahakamani ngoja nione kama yule mtu wenu mtampitisha kwenye huo usahili wa ku-foji uku mna watu wenu mfukoni..........
Mtanijua kama mimi ndio dada anet au janet .......
Time will tell, keep wait........
Over.........
Anet toto la kimburu!!!