Sorry, Rais wetu ni timu gani hapa Tanzania?

Ta Muganyizi

R I P
Oct 19, 2010
5,361
2,734
Wadau, karibu nijuzeni.

Lengo langu hapa nataka kujua tu timu ya mheshimiwa hapa nchini ili niweze ku compare na baadhi ya maamuzi. Hapa nchini kuna wa kimataifa na wale wengine jina limenitoka kidogo.

Asanteni.
 
Mkuu Wakati Wa Kampeni Kulikuwa Na Team Magufuli, Nahisi Bado Kiongozi Wa Hiyo Team.
 
Wadau, karibu nijuzeni.

Lengo langu hapa nataka kujua tu timu ya mheshimiwa hapa nchini ili niweze ku compare na baadhi ya maamuzi. Hapa nchini kuna wa kimataifa na wale wengine jina limenitoka kidogo.

Asanteni.
Nadhani atakuwa TeamWema
 
Back
Top Bottom