Sorry! Mpenzi, Mimba hii si yakwako niya kijana aliepanga kwetu!!!

nelly nashon

JF-Expert Member
Jan 7, 2015
242
521
Katika mahusiano kuna mengi huwa mnapanga kuyafanya katika maisha yenu!

Moja ya mipango huwa ni kuishi pamoja na kupata familia kama Mungu atajalia.
Ndo hizi wakati mwingine hukoma ghafla kutoka na sababu mbalimbali.
Moja ya sababu ni kati ya mpenzi mmoja kutochukulia mahusiano serious na kukupotezea muda tu na pesa..

Kisa hiki kimemkuta rafiki yangu, baada ya kukaa na mchumba wake kwa zaidi ya mwaka, binti kapata ujauzito lakini kamtamkia mwenzie kuwa si baba wa mtoto anaembeba tumboni!!!

Rafiki kaumia sana na hajui nini chakufanya...

Anaomba ushauri....please.
 
Sina mpenzi, nina mke na watoto!! Hiyo hatua nishatoka miaka mitano iliyopita.
 
Daaahhh aiseeee ktk mahusiano ,,mwenzako anapokuletea maumivu ,hupaswi kulia,, hupaswi kulia.... Unapaswa utazame juu angani maana huko ndiko furaha yako ilipoelekea ,kisha shukuru Muumbaji wako kwakupa Nafasi nyingine ya kufanya maisha !!..


Usimpe nafasi MTU kukuumiza.!!!.
 
Mbona wako wengi Sana? Hilo nalo linaumiza kichwa? Aende kwenye nyumba za Ibada akawaone viongozi wa Dini, watampa orodha ndefu ya Marriage Seekers hadi akimbie mwenyewe!!
 
Wenzio huwa tunaangalia kila siku Kama vile Vyeti vina Expiry Dates, nadhani serikali ilifanya kosa kutokuweka hio kitu kabisa kwenye lile karatasi
 
Back
Top Bottom