Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,661
......NIMEKUTANA NA HII....mamiss wanaojiandaa kugombea mashindano ya miss ilala leo walienda muhimbili kutaka kujitolea damu......baada ya kupimwa wote vipimo vya hapa na pale ....daktari wa benki ya damu alitoka na kuanza kuwapa semina taratibu akiwaeleza kuwa damu yenu haitafaa kuchukuliwa kwa sababu ..uzito wenu mdogo [haufiki kilo 50],mna kizungu zungu....na kuwataka wale mboga za majani ,kwani hawana damu ya kutosha!!!
pamoja na kupewa maelezo ya kitaalamu warembo wote walionekana kupigwa na butwaa na wasiwasi tele .....inawezekana wakiamini maneno ya daktari ni ya kuwatoa kwenye reli....kama ilivyo kawaida ya madaktari wanavyotoa watu kwenye reli kwa siasa zao ..ikiwa damu waliyoipima wanakuta haiwezi kufaa kutokana na sababu za marazi....
...nafikiri daktari atakuwa anawatesa sana mamiss kipsychology...nafikiri kama sababu haikuwa marazi...ni bora angwaambia straight..."warembo hamna vigezo vya kutoa damu pamoja na damu zenu kuwa safi..kabisa,hamna maambukizi yoyote!...lakini pia muongeze kula mnenepe na damu iwe ya kutosha"