Sophia Simba na wanawake "wavaa vimini" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sophia Simba na wanawake "wavaa vimini"

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ng'wanangwa, Feb 26, 2011.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Feb 26, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  huytu mama ana kichaa tena kichaa cha mbwa, anawaita wanawake wa kikristo kuwa ni wavaa vinimini. hii ni zarrau kubwa sana.wanawake wa kikristo lazima msimame kidete klupinga uzalilishaji huu wa huyu mama aliyelewa madarak,a.

  alisema hiv na hapa namunukuu:

  "JAmni wavaa vimini tusiwasahau na kudharau wana uwezo wa kuinua UWT hivyo tuwashirikishe katika vikao na kuwawezesha kwani tukiwaacha wataenda kwa halima mdee na ndo maana tumepoteza nafasi 11 kinondoni ambapo sasa tunakabiliwa na changamoto kubwa kurudisha; pia sisi wakina mama tuache ubinafsi tuwashirikishe watoto wetu", alisema.  mai tek:kina dada hasa wa kikristo mnakubali kudhalilishwa na mna hii? mko tayariu?

  soiursce: majira jumamamiosi 26/02/2011
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Feb 26, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mi naona wewe uko wrong kabisa!

  Aliposema hivyo alimaanisha ..WASICHANA WA UMRI WAKATI..whether Wakristo or Waislamu, maana wote huvaa vimino!
  Ni kitu gani kilichokufanya uone kama vile kawasema wakristo?
  Ndiyo maana mwishoni mwa nukuu yako anasema kabisa kuwa .."tuwashirikishe watoto wetu"...

  This is too much speculation broda, AND SOMETIMES IT CAN LEAD to bad outcomes.
   
 3. mfarisayo

  mfarisayo JF-Expert Member

  #3
  Feb 26, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 5,030
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  SS ni mwanamke pekee anayeingia ktk top 10 ya waropokaji, vilaza na wehu hapa nchini orodha ambayo inaongizwa kwa muda mrefu na Tambwe hiza na Makamba.
   
 4. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #4
  Feb 26, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,202
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
  Kwanza tujiulize kama tabia hii kwa wingi wao hawana? Ndipo tuanzie hapo kuujadili huu ukichaa wa SS.
  .
   
 5. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #5
  Feb 26, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Sioni kama alimaanisha udini hapa! ni wasichana macheksisters aliotaka kuwamaanisha! i agree PJ
   
 6. n

  niweze JF-Expert Member

  #6
  Feb 26, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sio kila kitu kinachoongewa na mjinga kama huyu lazima tuchangie humu. Vitu vingine ni maneno ya kijinga na haitaji michango. Comments of ignorance...Hakuna Impact yeyote ile...ni yeye na familia yake.
   
 7. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #7
  Feb 26, 2011
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mme m miss SS siku nyingi ehhh?
  wapi kasema wanawake wa kikristo? Kwani hakuna Waislam wavaa vimini?..
   
 8. Pukudu

  Pukudu JF-Expert Member

  #8
  Feb 26, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 2,970
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  ingawa sophia simba ni mwehu na mropokaji nafkiri hakumaanisha wanawake wa kikristo ila alimaanisha vijana wa kike a.k.a wasichana wa kizazi kipya ambao wengi wao hupendelea vimini na suruali za kubana coz now hata wasichana wa kiislamu nao ni walewale ni baadhi yao tu ndo wanajistiri kwa hijabu na baibui pia wakristo wako wanaovaa vizuri nafkir ndugu yangu ulimuelewa vibaya huyo mama anayesifia waume wa wenzake 'eti ni wanaume wa shoka'
   
 9. J

  JokaKuu Platinum Member

  #9
  Feb 26, 2011
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,750
  Likes Received: 4,967
  Trophy Points: 280
  ..kwa uelewa wangu Sophia Simba ni Mkristo.

  ..pia aliposema wavaa vimini nadhani anamaanisha kina dada vijana wasomi.

  ..UWT imebakia kuwa ya wanawake wa miaka 50++, hali hiyo siyo nzuri kwa CCM hata kidogo. nadhani hicho ndicho alichokuwa akijaribu kukisema Sophia Simba.

  NB:

  ..BINAFSI NAMHESHIMU HUYU MAMA KWA UJASIRI WAKE WA KUSEMA HADHARANI KWAMBA HAKUNA MSAFI KTK CCM.
   
 10. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #10
  Feb 26, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  wewe uliona wapi? 2ambie
   
 11. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #11
  Feb 26, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mbona akuna neno Wakristo kwenye nukuu yako? Ama nawe ni AN-NUUR ya Kikristu?!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 12. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #12
  Feb 26, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Jerusalem na majungu yake huyoooooooooo!
   
 13. ambili

  ambili JF-Expert Member

  #13
  Feb 26, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 243
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  mimi nakuona wewe ndio una suggest watu wakubaliane na unachokimaanisha na sio jinsi habari ilivyo maanisha.
   
 14. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #14
  Feb 26, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  kuita watyu wavaa vimini huku unaomba sapoti yao ni udhalilishaji na ninawaasa hao aliowaita wavaa vinmini wamuogope yeye na uwt yake kama ukoma
   
 15. N

  Nonda JF-Expert Member

  #15
  Feb 26, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Mkuu,
  Hapa umenena na nafikiri mtoa mada hata yeye mwenyewe baada ya kusoma mchango wako atakuwa ameona kosa lake.
  Tutakapojisahau na kuchochea "udini" au kuanzisha fitina za kidini basi yaliyotokea Mto wa mbu yataendelea.Ni maafa kwa jamii yetu.
  Jamani nchi hii ni ya wote. Wenye dini na wasio na dini. Tushirikiane ,sio kubaguana.
   
 16. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #16
  Feb 26, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  majungu ya ukombozi.
   
 17. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #17
  Feb 26, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,143
  Trophy Points: 280
  Jerusalem? Ni wapi SS kataja wakristu? Huoni haya wala hujui vibaya? Watu kama wewe ndio mnaoitwa mafataani, mnafitinisha vibaya sana kwa kutumia imani za watu. Ulegee na Ushindwe!
   
 18. N

  Nonda JF-Expert Member

  #18
  Feb 26, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Jerusalem ungeweza kufikisha ujumbe wako bila ya matusi na jazba.
  Ujumbe wako uko zaidi kiuchochezi. Sote tunaelewa kuwa kujenga ni kazi kubwa lakini kubomoa ni mteremko.

  Halafu naona unatumia lugha ya waarabu kuleta ujumbe wako. Kazi kweli kweli!!
  https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-lugha/94396-i-hate-swahili-because-it-is-purely-arabic.html
   
 19. L

  LAT JF-Expert Member

  #19
  Feb 26, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  hivi wale wajasiriamali wa Ohio street bado wapo
   
 20. l

  limited JF-Expert Member

  #20
  Feb 26, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 300
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kwa hayo maelezo yako hapo mie naona wewe ndio mdini
   
Loading...