Sophia Simba: Inatosha, Sitagombea tena uongozi ndani ya UWT

Sophia Simba ni wa mjini papa hapa Dar
Namkubali saana anazijuwa kuzicheza karata.
 
Ila kuna dalili jamaa kashaanza kuingia woga dhidi ya zimwi kuu fisiem. Anaweza mteua Balozi kupunguza ukali wa zimwi kuu
 
Kila zama na kitabu chake.
Hawezi kuwa sehemu ya kitabu kinachoandikwa kwa kugeuzwa geuzwa juu chini.
 
Mwenyekiti wa UWT Taifa anaingia moja kwa moja bungeni kwenye orodha ya wabunge wa viti maalum kupitia CCM.
Jibu swali,ndio mana mnatuletea wakina Bashite,jibu ndio au hapana,ukuulizwa anaingia bungeni kwa utaratibu upi,pumbavu kabisa migunya ya Lumumba
 
Huyo mama ana lugha za mipasho sana. Alimtoa machozi Mama Sitta wakati wa uchaguzi wa Mwenyekiti wa UWT
Hanha ha ha ha alimwambia nini Mama Sitta?Huyu Mama wa Mjini sana huyu,alianzia na Udiwani kama sikosei kata ya Upanga.

2012 alimchachafya sana Anna Kilango uchaguzi wa Mwenyekiti wa UWT...Na ukumbuke huyu ni "shost" wa Mama Kilango toka long time,ndio alimuunganishia Mama Kilango kwa Mzee wa Mvumi...Na siku ya harusi akawa mshenga wake.

Ana maneno ya shombo usipime,alimtoleaga shombo Marehemu Sitta walipotaka kumvua uanachama.Kauli yake kuu ni ile ya kusema "Tanzania hii mwanaume ni Lowassa tu"
 
Huyu anajua chair atamshughulikia kwa vile alikuwa upande wa wale walioimba "tuna imaaani na............." Heri yake Nchimbi kapata warning na cheo juu-ubalozi
Sizonje bonge la muoga.
Anajua atakwenda kuanzisha kundi ndani ya chama so atampatia pande ili awe karibu
 
Back
Top Bottom