Sophia Simba hajui kiingereza?

AMARIDONG

JF-Expert Member
Jun 24, 2010
2,502
180
Wadau msimlaumu spika au naibu wake kwa kumwondoa sophia kujieleza wakati wa kuomba kura za sadc huyu mama hajui kiingereza kabisa kwa hiyo chama kimelinda aibu""funika kombe mwanaharamu apite""
 
Wadau msimlaumu spika au naibu wake kwa kumwondoa sophia kujieleza wakati wa kuomba kura za sadc huyu mama hajui kiingereza kabisa kwa hiyo chama kimelinda aibu""funika kombe mwanaharamu apite""

Ooooh!!!!!! Sasa ilikuwaje akapewa uwaziri???
 
Wadau msimlaumu spika au naibu wake kwa kumwondoa sophia kujieleza wakati wa kuomba kura za sadc huyu mama hajui kiingereza kabisa kwa hiyo chama kimelinda aibu""funika kombe mwanaharamu apite""

Haya ndio matokeo ya chama tawala kulindana na kutowandea wengine haki. Mbona wagombea wengine walijieleza na kuomba kura kwa kiingereza, huu udharimu utaisha lini? After all, huyu Sofia alichelewa kupeleka fomu lakini Makinda bila ya aibu akambeba kwa kisingizio cha mgombea pekee kama vile hakuna mwanamke mwingine mwenye uwezo zaidi ya Sofia...Ughh.:nono:
 
Ndio maana walimtoa kwenye kujieleza. Ila jamani aibu nyingine ziwe za hapa kwetu tu, bora hata wangempa cheo kingine hapa ndani kuliko kwenda kutuaibisha huko nje??? Hawa m..wa sijui wanataka tukiwa nje ya nchi tuone aibu ya kutaja taifa tunalotoka kwa aibu ya kuwa na mwakilishi ambae hajui lugha achilia mbali hana uwezo wa kuwakilisha mawazo yenye kujenga nchi. ONE DAY YES!!!!!
 
hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!

Kwa hiyo nayeye tumuongeze kwenye orodha ya Wabunge Vihiyo wa CCM?
 
nashangaa loh watoto,,lugha yake angekuwa haijui hapo kweli ningeshangaa

Kiingereza ni official language kwa Tanzania kama ilivyo Kiswahili. Kama hawezi kupasua mayai, atatuwalisha vipi kwenye mikutano ya kimataifa ambako mara nyingi ung'eng'e hutumika?
 
China, Urusi, Japan wanatumia Kingereza au lugha zao kuendesha serikali?
JIbu Hili Hapa:
WATANZANIA = hutumia lugha ya Kiingereza katika masomo yote isipokuwa somo la Kiswahili, sasa kama mtu hajui Kiingereza alipataje hiyo fani au shahada?
Warusi - Hutumia Kirusi kusoma
China - Hutumia Kichina Kusoma
Japan - Hutumia KIJapani kusoma
Sasa kama sisi tunasoma kwa lugha ambayo hatuimudu tunapataje shahada zetu? Au ndiyo tunakariri tu na baada ya mtihani ndiyo kwisha. Language is very important in communication.
 
nashangaa loh watoto,,lugha yake angekuwa haijui hapo kweli ningeshangaa

Dada Joyce
Sofia Simba amekuwa mbunge wa SADC kutoka Tanzania, maana nyingine anaenda kuiwakilisha Tanzania katika jumuiya ya SADC na naamuzi yatakayofanyika huko yanakujwa kutekelezwa hapa nchini, sasa kama mtu hawezi kuongea Kiingereza ataongeaje ili aeleweke na atachangia nini kwenye mijadala muhimu, kumbuka official language za SADC ni Kiingerza, Kifaransa, Kireno na Africans, Kiswahili hakipo hapo
 
Huko SADC ataenda kuwa bubu la Tz. Ama wamkodishie mkalimani atakaemtafsiria kinachojadiliwa. Hata hivyo jamani serikali yetu inaangalia nini? Inayathamini maslahi binafsi ya sofia kuliko ya Taifa? Maana kwa maslahi ya taifa kwa mtu ambae hajui kinachojadiliwa hayapo, ila mshahara na posho za vikao zipo. Hii ni aibu ya bunge la Tanzania.
 
JIbu Hili Hapa:
WATANZANIA = hutumia lugha ya Kiingereza katika masomo yote isipokuwa somo la Kiswahili, sasa kama mtu hajui Kiingereza alipataje hiyo fani au shahada?
Warusi - Hutumia Kirusi kusoma
China - Hutumia Kichina Kusoma
Japan - Hutumia KIJapani kusoma
Sasa kama sisi tunasoma kwa lugha ambayo hatuimudu tunapataje shahada zetu? Au ndiyo tunakariri tu na baada ya mtihani ndiyo kwisha. Language is very important in communication.

If we continue making appointment on the basis of who know who our position and interests in the international arena is not insured. I argue representatives for EAC, SADC and other international organs require a serious thought of parties. Appointment of Competent Reps is not a matter of option but it is a matter of necessity for our common good.

Hopeful she can write. Cant she?

God Bless Tanzania!!
 
nashangaa loh watoto,,lugha yake angekuwa haijui hapo kweli ningeshangaa

wewe natamani sana nije nikuone unafananaje, maana kwenye kujenga hoja ni a e i O u ( hiyo herufi/tarakimu nyekundu: naogopa mod wasijekunifungia)
 
Wadau msimlaumu spika au naibu wake kwa kumwondoa sophia kujieleza wakati wa kuomba kura za sadc huyu mama hajui kiingereza kabisa kwa hiyo chama kimelinda aibu""funika kombe mwanaharamu apite""

Labda ungefafanua zaidi nini maana ya Sophia hajui kiingereza kabisa?

Huyu mama amesoma bachelor of law (LLB) pale mlimani miaka ya 80. Sasa kama hajui kiingereza kabisa angewezaje kumaliza masomo hayo?

Naelewa huyo mama aliingia mlimani kama mature student na alikuwa ana struggle na shule lakini kama alimaliza kwa vyovyote hawezi kushindwa kiingereza cha kujieleza. Kumbuka miaka hiyo faculty ya sheria ilikuwa inachukua wanafunzi wacahcahe wenye uwezo (kama 60 kwa mwaka) na mwanafunzi akichemsha tu, ilikuwa inakuwa ngumu sana kumaliza.

Anaweza asiwe na kiingereza kizuri sana lakini sio cha kushindwa kabisa kujieleza.
 
Well said!!
 
Mi nasema shukuruni akuongea angeongea angetoa neno ambalo bunge zima mngehisi amewatukana kumbe ajui maanake ...mmh hizi sheria lazima wazijue mwak huu kama walikuwa wakizichezea nasema mwanasheria kama uliwekwa kwa ajili ya schoolmates sasa utalijua jiji kazi imeanza nimesikitika na upupu ulioanza nao kwa kukiri kosa na kusema akuna mabadiliko

dem n u
 
Back
Top Bottom