Sophia Simba apanda chati baada ya wananchi kumuelewa

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,468
113,583
Mod, is there a problem with this thread?, naona only the thead starter?.
for sure there is maana this post read number 3!.
 
Please help, is it my pc?. Sioni post yoyote hapa na nikipost kama hii ilivyo itacount post number 2, au kuna mkono wa mtu?.
 
Ni ukweli aliyozungumza SS watu wameanza kumuelewa!! Kama kuna mkono wa mtu inasikitisha sana!!!!
 
Inategemea wananchi gani wanamuelewa. Ninachokisikia midomoni mwa watu sio kizuri sana. Inawezekana ni wale watu ninaokutana nao.
 
Naona hii post imetumwa kimakosa,kama wachangiaji hapo juu walivyosema either kuna kampeni maalumu au kuna mkono wa mtu.
 
kuna chati nyingine mtu akipanda inabidi utikise kichwa; na kuna chati nyingine mtu akipanda unaombea abakie huko huko! Na zipo chati nyingine mtu akitajwa kuwa yumo hata katika nafasi ya mwisho ni huzuni kwa wote wamjuao. Na zipo zile ambazo hata hazistahili kuwepo.
 
Aliyoyasema SS yana UKWELI wowote? Naona waliosemwa hawajakanusha wala kutishia kwenda mahakamani! Naamini shutuma/tuhuma zile zingeelekezwa kwa akina RA, EL,....thread zingejaa humu.
 
Meli waliyomo wasuluhishi wa CCM inapita kwenye mawimbi makali sana. Ngoja tuone utiaji nanga utakuwa wa staili gani.
 
Back
Top Bottom